Mericho kihongosi (@kihongos1) 's Twitter Profile
Mericho kihongosi

@kihongos1

ID: 1262403425255526401

calendar_today18-05-2020 15:23:58

5,5K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

RATIBA YA KESI TAR. 14 - KESI YA MGOGORO WA MGAWANYO WA MALI ZA CHADEMA (MAHAKAMA KUU) TAR. 15 - KESI YA UHAINI NA UCHOCHEZI DHIDI YA TUNDU LISSU (MAHAKAMA YA KISUTU) TAR. 16 - KESI YA LISSU KUPINGA MAAMUZI YA MAHAKAMA YA KISUTU KURUHUSU MASHAHIDI KUFICHA SURA (MAHAKAMA KUU).

RATIBA YA KESI

TAR. 14 - KESI YA MGOGORO WA MGAWANYO WA MALI ZA CHADEMA (MAHAKAMA KUU)

TAR. 15 - KESI YA UHAINI NA UCHOCHEZI DHIDI YA TUNDU LISSU (MAHAKAMA YA KISUTU)

TAR. 16 - KESI YA LISSU KUPINGA MAAMUZI YA MAHAKAMA YA KISUTU KURUHUSU MASHAHIDI KUFICHA SURA (MAHAKAMA KUU).
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wetu wa mawasialiano na uenezi Bi Brenda Rupia, anashikiliwa na jeshi la polisi Mkoa wa Arusha. Chama kinafuatilia na tutatoa taarifa rasmi.

Mkurugenzi wetu wa mawasialiano na uenezi Bi Brenda Rupia, anashikiliwa na jeshi la polisi Mkoa wa Arusha.

Chama kinafuatilia na tutatoa taarifa rasmi.
#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Polisi na uhamiaji ni silaha za Samia Kama Brenda Rupia Jonas ana tuhuma za Uchochezi wamezijua akiwa mpakani? Kwa nini kila kiongozi wa CHADEMA akifika mpaka ndipo kuna kuwa na tuhuma za ghafla Hizo Tuhuma nani uziweka kwenye passport bila kuongea na mhusika au taasisi

Polisi na uhamiaji ni silaha za Samia 

Kama <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a>  ana tuhuma za Uchochezi wamezijua akiwa mpakani? 

Kwa nini kila kiongozi wa CHADEMA akifika mpaka ndipo kuna kuwa na tuhuma za ghafla 

Hizo Tuhuma nani uziweka kwenye passport bila kuongea na mhusika au taasisi
Aneth Stanley (@anethstanley) 's Twitter Profile Photo

Jambo TV Ndugu Zangu Police Force TZ mbona nyie mnadeal na CHADEMA peke yake,kwani nyie wenzangu ni CCM ama ni chama gani ,mbona ni kama mko kuikandamiza Chadema Tanzania ? Makalla alitoa taarifa nyingi tu za uongo na hamjawahi kumgusa popote, acheni haya mambo ya kutumikia CCM.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Kanda Maalum hawalembi.🙌 Catherine Ruge kamtumia Garatwa msg akimuomba waonane, Garatwa kamuuliza wewe nani? Eti anashangaa , umefuta namba yangu ikabidi ajitambulishe. Kaona hajibiwi, ikabidi apige simu na haya ndo majibu aliyopewa. Watu hawataki ujinga.😂😂😂😂

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Kenani, amedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa ndani na wanachama wa chama hicho na kwamba baadhi yao walikamatwa na kupigwa.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

"Ningekubali pesa za michango ya matajiri ningekuwa RAISI wa aina gani?" Acha tuone huyu IDI AMINI MAMA atakuwa raisi wa aina gani baada ya kula pesa za MAFISADI. TUTAKUWEPO🫵😎