KiDeNcHa (@kidencha) 's Twitter Profile
KiDeNcHa

@kidencha

mzalendo wa taifa langu Tanzania
Manchester United
Yanga fun

ID: 1755262501241966592

calendar_today07-02-2024 16:09:53

411 Tweet

101 Followers

175 Following

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Serikali imemuagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa Kituo cha Maendeleo ya Uzalishaji wa Samaki cha Rubambagwe wilayani Chato, mkoani Geita, kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Machi 30, 2026, ikisisitiza kuwa hakuna kisingizio chochote hasa baada ya fedha za mradi huo

Uhifadhi wa mazingira na ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi ni muhimu katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Tanzania imejaaliwa utajiri wa maliasili na wingi wa bioanuai zilizopo katika mifumo mbalimbali ya ikolojia, kama vile misitu, uoto wa

Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi Afrika Mashariki (EACOP) unaendelea kudhihirisha mchango wake mkubwa katika kufanikisha malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Tanzania, hususan katika kukuza uchumi wa viwanda, kuongeza ajira zaidi ya 12,000, kuimarisha

Serikali imeahidi kuendelea kuchukua hatua madhubuti za kukuza na kuimarisha sekta ya sanaa nchini kwa kusikiliza sauti za wadau na kuweka mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa sekta hiyo na kuongeza fursa za ajira kwa vijana. Ahadi hiyo ya Serikali imetolewa Januari 5,

Serikali imeahidi kuendelea kuchukua hatua madhubuti za kukuza na kuimarisha sekta ya sanaa nchini kwa kusikiliza sauti za wadau na kuweka mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa sekta hiyo na kuongeza fursa za ajira kwa vijana.

Ahadi hiyo ya Serikali imetolewa Januari 5,
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza orodha ya bidhaa na huduma 20 za uchimbaji madini ambazo kuanzia sasa zitatolewa na kampuni zinazomilikiwa kwa asilimia 100 na Watanzania, hatua inayolenga kuongeza ushiriki wa wazawa, kukuza uchumi wa ndani na kufungua fursa

Katika nchi ambayo vijana wanachukua zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka uwezeshaji kiuchumi wa vijana kuwa msingi wa maendeleo ya Taifa. Tangu alipoingia madarakani mwaka 2021 na kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ameanzisha sera na mikakati

Mimi sio mtabiri lakini kwa takwimu hizi na ushahidi huu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimaliza uongozi wake huu wa awamu ya pili, watanzania wenyewe tutampa Tuzo ya uongozi bora, achana na ile aliyopewa na Baraza la Wanawake la Chadema Mwaka 2023 au ile ya Gates Foundation,

Serikali kupitia Wizara ya Madini imetangaza rasmi orodha ya huduma na bidhaa 20 zinazopaswa kutolewa Migodini kupitia kampuni zinazomilikiwa na watanzania kwa asilimia 100 ikilenga kuongeza wigo wa ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya

Jana Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, alifanya ziara katika Mradi wa Kituo cha Maendeleo ya Uzalishaji wa Samaki cha Rubambagwe wilayani Chato, mkoani Geita, Katika ziara hiyo Waziri Kakurwa alibaini ucheleweshaji wa kuanza kwa utekelezaji wa Mradi

Jana Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, alifanya ziara katika Mradi wa Kituo cha Maendeleo ya Uzalishaji wa Samaki cha Rubambagwe wilayani Chato, mkoani Geita,

Katika ziara hiyo Waziri Kakurwa alibaini ucheleweshaji wa kuanza kwa utekelezaji wa Mradi
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Kadri Taifa letu linavyoendelea, Utafiti na Maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza ubunifu, kutatua changamoto za ndani, na kuongeza tija katika uzalishaji. Vilevile, utafiti na maendeleo huimarisha ukuzaji wa ustadi, husaidia kutoa mwongozo wa uundaji wa Sera, na kukuza

Kadri Taifa letu linavyoendelea, Utafiti na Maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza ubunifu, kutatua changamoto za ndani, na kuongeza tija katika uzalishaji.

Vilevile, utafiti na maendeleo huimarisha ukuzaji wa ustadi, husaidia kutoa mwongozo wa uundaji wa Sera, na kukuza
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

JIJI la Arusha, ambalo ni kitovu cha utalii nchini Tanzania, limepata shavu jingine la kimataifa baada ya Kituo cha Habari cha CNN (CNN Travel) kuliainisha kama moja ya maeneo bora zaidi duniani ya kutembelea kwa mwaka 2026. Katika ripoti yake maalum iliyochapishwa Desemba 31,

JIJI la Arusha, ambalo ni kitovu cha utalii nchini Tanzania, limepata shavu jingine la kimataifa baada ya Kituo cha Habari cha CNN (CNN Travel) kuliainisha kama moja ya maeneo bora zaidi duniani ya kutembelea kwa mwaka 2026.

Katika ripoti yake maalum iliyochapishwa Desemba 31,
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI ya Awamu ya Sita imetangaza mkakati mpya wa kuimarisha haki na amani nchini kwa kuipanua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia hadi ngazi ya wilaya nchi nzima. Hatua hiyo iliyotangazwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Homera, inalenga kuondoa kero na migogoro

Mwaka 2026 umeanza kwa kishindo, huku sauti za Watanzania wa kada mbalimbali zikijielekeza katika jambo moja kuu, Amani kama mhimili wa maendeleo. Aidha katika kipindi hiki ambacho Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza maridhiano, wananchi wameibuka na kutoa mwongozo wa jinsi

Mwaka 2026 umeanza kwa kishindo, huku sauti za Watanzania wa kada mbalimbali zikijielekeza katika jambo moja kuu, Amani kama mhimili wa maendeleo.
Aidha katika kipindi hiki ambacho Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza maridhiano, wananchi wameibuka na kutoa mwongozo wa jinsi
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

KATIKA kile kinachoonekana kama mtihani mzito kwa Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN) na uhuru wa mataifa madogo duniani, mtaalamu wa masuala ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa, Christopher Makwaia, amechambua kwa kina anguko la Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro. Makwaia

KATIKA kile kinachoonekana kama mtihani mzito kwa Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN) na uhuru wa mataifa madogo duniani, mtaalamu wa masuala ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa, Christopher Makwaia, amechambua kwa kina anguko la Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro.

Makwaia
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania kuacha kutumiwa na watu wenye nia ovu kuhujumu uchumi wa nchi kwa kuharibu miundombinu, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni "kupiga ngumi kwenye ukuta na kuumiza mikono yako mwenyewe." Akirejea matukio ya vurugu

Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania kuacha kutumiwa na watu wenye nia ovu kuhujumu uchumi wa nchi kwa kuharibu miundombinu, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni "kupiga ngumi kwenye ukuta na kuumiza mikono yako mwenyewe."

Akirejea matukio ya vurugu
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi mahiri wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha rasilimali za madini nchini zinawanufaisha Watanzania moja kwa moja kwa kugeuza maeneo ya migodi kuwa vitovu vya viwanda na biashara. Akizungumza katika

SERIKALI ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi mahiri wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha rasilimali za madini nchini zinawanufaisha Watanzania moja kwa moja kwa kugeuza maeneo ya migodi kuwa vitovu vya viwanda na biashara.

Akizungumza katika
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la upotoshaji likiongozwa na mwanaharakati wa mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye kwa mara nyingine ameonekana kukosa ukomavu wa kifikra kwa kuliombea Taifa la Tanzania livamiwe na Marekani. Hoja yake dhaifu ni kwamba uvamizi

MAMA wa Taifa, Maria Nyerere, ametoa wito mzito kwa Watanzania kudumisha mshikamano na kutumia mazungumzo kama njia pekee ya kuvuka changamoto zinazolikabili taifa kwa sasa. Akizungumza kwa busara na falsafa ya hali ya juu Januari 5, 2026, nyumbani kwake Msasani, Mama Maria

MAMA wa Taifa, Maria Nyerere, ametoa wito mzito kwa Watanzania kudumisha mshikamano na kutumia mazungumzo kama njia pekee ya kuvuka changamoto zinazolikabili taifa kwa sasa.

Akizungumza kwa busara na falsafa ya hali ya juu Januari 5, 2026, nyumbani kwake Msasani, Mama Maria
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

MATUNDA ya uwekezaji wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha elimu ya ufundi na vyuo vya kati yameanza kuonekana dhahiri, baada ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoani Mbeya kuzindua mtambo wa kisasa wa kusafisha dhahabu uliotengenezwa na wataalamu wa ndani.

KATIKA hali inayozidi kuonyesha tofauti za kimtazamo kati ya wazalendo wa kweli na wale wanaoendeshwa na mihemko ya mitandaoni, mchambuzi wa siasa Alvin Habibu ametoa tamko zito linalowataka Watanzania kupuuza kelele za watu wanaodhani uongozi wa nchi ni sawa na kuposti picha au