Kichuya (@kichuya6) 's Twitter Profile
Kichuya

@kichuya6

ID: 1311928981176946688

calendar_today02-10-2020 07:22:02

12 Tweet

6 Followers

309 Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Duka la Dauda Sports ndio ambalo Fenerbahce wamelipa kibali cha uuzwaji wa jezi zao orijino za 2020/2021, imethibitishwa na Mkurugenzi wa Dauda Store Shaffih Dauda ambaye amefanya makubaliano na mkuuu wa kitengo cha Masoko na Biashara wa Fenerbahce Mr Sina Afra #MillardAyoSPORTS

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

AlhamdulilahπŸ™πŸ½ β€œFootball ya Simba hata ukikaa nyumbani hujutii kulipia kifurushi chako"πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mtangazaji bwanaaaa 🦁

AlhamdulilahπŸ™πŸ½ β€œFootball ya Simba hata ukikaa nyumbani hujutii kulipia kifurushi chako"πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mtangazaji bwanaaaa 🦁
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

MAMBO 7 YA KUZINGATIA SISI VIJANA 1 Achana Na Starehe Zisizo Na Maana 2 Jali Afya Yako 3.Kuwa Na Marafiki Wenye Changamoto Za Maendeleo 4 Jifunze Kuweka Akiba Ya Fedha 5 Jifunze Kuvaa Kwa Heshima 6 Tafuta Mpenzi Sahihi Na Tulia Nae 7 Zingatia Sana Muda Wako #VijanaKwanza

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Kujipendekeza Sana Ama kuonyesha udhaifu wako kwamtu, Nikama kuongeza maumvu, Ishi maisha Yako usilazimishe kitu Ambacho Hakiwezekani.