Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile
Kenny Mmari Snr.

@kennedymmari

Sworn Adversary of GroupThink | Memento Mori. Memento Viveri| 👉🏾Communication, Tech & Impact | 🖇️ @SerengetiBytes, @DigitalAwardsTZ

ID: 2309651022

linkhttps://cosoc.com/KennedyMmari calendar_today25-01-2014 08:28:36

8,8K Tweet

166,166K Followers

1,1K Following

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa shukrani hufanya nyakati za kawaida au hata ngumu na kuzifanya kuwa za kipekee. Kila siku tunapaswa kufanya mazoezi ya kuwa na shukrani kwa kile tunachojaaliwa ili kuboresha afya yetu ya mwili, akili na hisia. Kidogo kwako chaweza kuwa lulu kwa mwingine.