
Hussein Kaliyango
@kaliyango
ID: 3233691720
02-06-2015 16:40:31
75 Tweet
437 Followers
995 Following

“CAG katika ripoti hii ya 2023/2024 ameonesha mamlaka za serikali za mitaa zimezuia fedha halali za watumishi walizotakiwa kuzipata kama malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi. Kuna Bilioni 10 za malimbikizo ya mishahara.” Kiza Mayeye. #OperesheniLindaDemokrasia
