Innocent Allen Nyari (@kaka_inno1) 's Twitter Profile
Innocent Allen Nyari

@kaka_inno1

AlwaysInnocent|Brother|Ba Sc. in Math& Statis|MwengeCathUnive2016
[email protected]
|Liverpool|Simba|⚽

ID: 1152370442

calendar_today05-02-2013 23:43:04

1,1K Tweet

459 Followers

614 Following

Beatrice Riwa (@missriwa) 's Twitter Profile Photo

Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š Huwa nasema siku zote ukitaka kumjua mtu vizuri pay attention jinsi anavyowatreat watu asiowajua na ambao anajua hawana msaada kwake. Huo ndo uhalisia wake.

Reek Mulla (@reek30203992) 's Twitter Profile Photo

Wisdom β€œWakishaamini unawahitaji zaidi ya wanavokuhitaji/mapenzi ya wadau wa mjini hugeuka samaki na maji/uishi ndani yake tuu nje yeke uvuliwe/kwa msaada wake upikwe na kisha uive uliwe” Ngosha 13 🐐

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Leo Wanangu wameamka wamechagua kutolalamika, wamegundua sio kila Mtu wa kumlilia shida zetu, Wanangu wameamka wamelia na Mungu tu kwakuwa yeye hascreenshot shida zetu wala haoneshi Watu maombi yetu. Wanangu wameamka kupigana, hakuna text ya Mwanamke kumpa moyo wala Missed call