Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile
Kaji

@kaji_sijo

LFC🔴. Uzi HQ 🧵. Content Creator 👽

ID: 1897651028012441600

calendar_today06-03-2025 14:10:52

7,7K Tweet

9,9K Takipçi

490 Takip Edilen

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Katikati ya baridi kali ya Siberia ndani ya jiji lisilojulikana la kijeshi liitwalo Sarov wanasayansi wa Urusi walifungiwa kwenye handaki. Majenerali waliketi kimya macho yao yakitazama TV. Mzee mmoja aliyeitwa Zolotov alisema Tumechezewa sana Marekani, wana mfumo wa kuzuia

Katikati ya baridi kali ya Siberia ndani ya jiji lisilojulikana la kijeshi liitwalo Sarov wanasayansi wa Urusi walifungiwa kwenye handaki.

Majenerali waliketi kimya macho yao yakitazama TV. 

Mzee mmoja aliyeitwa Zolotov alisema Tumechezewa sana Marekani, wana mfumo wa kuzuia