Kaino (@kaino_255) 's Twitter Profile
Kaino

@kaino_255

ID: 2984186806

calendar_today18-01-2015 14:37:56

1,1K Tweet

467 Takipçi

174 Takip Edilen

Salafi✨ (@salaph1) 's Twitter Profile Photo

"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili: 1) Kiasi cha akili (IQ) 2) Kiwango cha Kihisia (EQ) 3) Kiwango cha Kijamii (SQ) 4) Kiwango cha Shida (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kutatua hesabu....

"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili:

1) Kiasi cha akili (IQ)

2) Kiwango cha Kihisia (EQ)

3) Kiwango cha Kijamii (SQ)

4) Kiwango cha Shida (AQ)

1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kutatua hesabu....
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

HARUFU MBAYA KINYWANI (HALITOSIS). ZIJUWE SABABU ZA KUNUKA MDOMO (BAD BREATH) NA SULUHU ZAKE. Uzi🧵 Retweet🔄 please 🙏💊⚖🤝 Idadi kubwa ya watu inakabiliwa na tatizo hili. Na mara nyingi harufu mbaya hiyo inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kisaikolojia. 👇

HARUFU MBAYA KINYWANI (HALITOSIS).
ZIJUWE SABABU ZA KUNUKA MDOMO (BAD BREATH) NA SULUHU ZAKE.

Uzi🧵 
Retweet🔄  please 🙏💊⚖🤝

Idadi kubwa ya watu inakabiliwa na tatizo hili. Na mara nyingi harufu mbaya hiyo inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kisaikolojia.
👇
BarbieGirl” 11:11🌸 (@iamdoll__) 's Twitter Profile Photo

Naangalia muvi ya Emancipation ya Will Smith. Wazungu wanawatesa Waafrika huku wakiwasomea mistari ya Biblia ile inayohusu mtumwa kumtii bwana wako. Hawa jamaa walikuwa smart sana na ukikataa kutumika, wanasema unapata dhambi kwa Mungu. Hakika Wazungu walijua na wataendelea✍️👇

Naangalia muvi ya Emancipation ya Will Smith. Wazungu wanawatesa Waafrika huku wakiwasomea mistari ya Biblia ile inayohusu mtumwa kumtii bwana wako.

Hawa jamaa walikuwa smart sana na ukikataa kutumika, wanasema unapata dhambi kwa Mungu.

Hakika Wazungu walijua na wataendelea✍️👇
NIZA (@nizaasili) 's Twitter Profile Photo

Kitunguu swaumu Tangawizi Asali Wengi wanakosea wapi hadi wanakosa matokeo ya dawa hii yenye kuweza kutibu Tatizo la UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME na Afya ya uzazi kwa jinsia zote? RT kisha nitakupatia formula rahisi kabisa itakayokufanya usiugue mara kwa mara 0788700445 👇

Kitunguu swaumu
Tangawizi
Asali 

Wengi wanakosea wapi hadi wanakosa matokeo ya dawa hii yenye  kuweza kutibu Tatizo la UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME na Afya ya uzazi kwa jinsia zote?

RT kisha nitakupatia formula rahisi kabisa itakayokufanya usiugue mara kwa mara
0788700445
👇
Mack (@mackrudn) 's Twitter Profile Photo

Je unajua unaeza jitibu tatzo la ugumba na kumaliza shida ya upungufu wa Mbegu za kiume Karbu katika uzi huu twende pamoja Mwenyezi Mungu akuongoze katika kupambania afya yako ya uzazi Natanguliza shukran zangu kwa Mungu wangu Mungu wa mababu zetu afrika toka kale ad sasa

Mateo (@luganomwakimi) 's Twitter Profile Photo

TUMIA CIU YA JIRANI YAKO IKIWA UMEKWAMA KABAISA KUWEKA UMEME Kwa wale wanao tumia meter na Customer Interface Unit aina ya inhemeter ukitaka Kushare na Jirani yako basi chukua remote ya Jirani yako afu weka 59698686 + Meter Number + OK Hapa ni Meter zote (37, 54, 43)

TUMIA CIU YA JIRANI YAKO IKIWA UMEKWAMA KABAISA KUWEKA UMEME

Kwa wale wanao tumia meter na Customer Interface Unit aina ya inhemeter ukitaka Kushare na Jirani yako basi chukua remote ya Jirani yako afu weka 59698686 + Meter Number + OK

Hapa ni Meter zote (37, 54, 43)
Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

NJIA TANO MUHIMU ZA KUIJENGA TABIA YA KUWEKA AKIBA. UZI. (Muhimu) Tafiti zinasema ni watu 14 tu kati ya watu 10,000 ndio wanatabia asili ya kuweka akiba na hao ndio wanaofanikiwa kirahisi. Sasa kama wewe unatatizo la kushindwa kuweka akiba kama mimi basi Twende sawa.👇🏿

NJIA TANO MUHIMU ZA KUIJENGA TABIA YA KUWEKA AKIBA. 

UZI. (Muhimu)

Tafiti zinasema ni watu 14 tu kati ya watu 10,000 ndio wanatabia asili  ya kuweka akiba na hao ndio wanaofanikiwa kirahisi. Sasa kama wewe unatatizo la kushindwa kuweka akiba kama mimi basi 
 Twende sawa.👇🏿
Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Daktari anayechukiwa zaidi na makampuni ya dawa, chakula na hospitali duniani, Alitibu na kuponya magonjwa yote ikiwemo kansa na kisukari, hadi wenye vipara. Njoo ujifunze namna ya kujitibia kupitia chakula kwa misingi ya Dr. Sebi. RETWEET Wengi Wajifunze.

Daktari anayechukiwa zaidi na makampuni ya dawa, chakula na hospitali duniani,

Alitibu na kuponya magonjwa yote ikiwemo kansa na   kisukari, hadi wenye vipara.

Njoo ujifunze namna ya kujitibia kupitia chakula kwa misingi ya Dr. Sebi.

RETWEET Wengi Wajifunze.
Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Moja ya SIRI Kubwa aliyotuachia Dr. Sebi ni UPONYAJI unaopatikana kwenye vyakula vya ASILI - Alkaline. Njoo tujifunze TIBA hii ya ASILI. Utapata pia ORODHA nzima ya vyakula ambavyo ni alkaline. RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵

Moja ya SIRI Kubwa aliyotuachia Dr. Sebi ni UPONYAJI unaopatikana kwenye vyakula vya ASILI - Alkaline.

Njoo tujifunze TIBA hii ya ASILI.

Utapata pia ORODHA nzima ya vyakula ambavyo ni alkaline.

RETWEET Wengi Wajifunze.

🧵
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Ukipata Muda Ishi Nalo Hili TAPA!! Usilidharau Ukalichukulia Poa Kisa Ni La Ki-Dosi!! Sio Poa Hili Tambala!! Akili Flani Kubwa Imetumika Humu!!

Ukipata Muda Ishi Nalo Hili TAPA!!

Usilidharau Ukalichukulia Poa Kisa Ni La Ki-Dosi!! Sio Poa Hili Tambala!!

Akili Flani Kubwa Imetumika Humu!!