Edgar Mzelela(@MzelelaEdgar) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YETU Kwa wewe ambaye una shida Dodoma na uko mbali au upo Dodoma ila umetingwa na shughuli nyinginezo,usisite kuwasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 765920855 uweze kusaidiwa jambo lako lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kupatiwa huduma

account_circle