Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile
Joseph Kaby

@kabyjoseph

Professional Ad expert๐ŸšฆFacebook๐ŸšฆGoogle๐ŸšฆTikToK ๐Ÿšฆ DTC and local lead Gen.

ID: 856933745529688065

calendar_today25-04-2017 18:11:40

6,6K Tweet

6,6K Followers

94 Following

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Mazda CX5 Ni keyword imekuwa searched sana on google last 3 months ikiwa na volume 10K - 100K But guess what โŒNO Local car dealership is bidding for that Keyword. Wote wanatumia social media na wanaacha actual clients on google ambao are actually searching for that specific

Mazda CX5 Ni keyword imekuwa searched sana on google last 3 months ikiwa na volume 10K - 100K

But guess what

โŒNO Local car dealership is bidding for that Keyword.

Wote wanatumia social media na wanaacha actual clients on google

ambao are actually searching for that specific
Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Kama wazee walikutengenezea โ€œEasy Lifeโ€ niko hapa kukwambia enjoy vilivyo bila hata kuona aibu. Mapambano ni magumu sana kwa sisi upande wa pili ๐Ÿ˜‚ Kwa kuongezea tu, tunakuonea wivu

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Ada (Health app) anatumia โ€œcontent creatorsโ€ wasio relate kabisa na maswala ya Afya. Kwani tuna uhaba wa content creators kwenye maswala ya afya? Au popularity ndio msingi mkuu?

Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro) (@mafolebaraka) 's Twitter Profile Photo

Hili ni tatizo kubwa sana ukitaka kuchuka cheki influencer ๐Ÿฆ’ amewatumia kwenye kulaunch app yake na influencer app nyekundu inatumia kupromote app yao. Kitu nina uhakika hizo deals wangewapa hawa influencers wa masuala ya savings na finance wangepata result bora zaidi.

Creative Generalist ๐Ÿ‘‘ (@iamowino) 's Twitter Profile Photo

Brands nyingi ziko obsessed na follower count & nani anatrend, ishu za relevance mara nyingi haziji hata akilini mwao. Ukiangalia asilimia kubwa ya influencer campaigns, influencers mara nyingi hawaendani kabisa na products wala target audience

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Achana na Global ni product ipi inafanya vizuri locally? Ukiondoa Max malipo (One of the best product we had) nyingine ni ipi?

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Government pamoja na political parties, zimeanza kutumia paid traffics kufikisha ukumbe kwa watu wengi through different platforms. But seems like Hakuna structure they just take a post or any picture na some words. I think wanashindwa kutofautisha ad creatives na posters.

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Mmeliona Tangazo la Mama yuko kazini? Nice video but wrong size, Wametumia square but if Iโ€™m not mistaken ile ni 840 X 840 Inapunguza impression na kuongeza CPM Ingekuwa Njema wakaweka 4:5 ratio (1080 X 1080) kwa more visibility. Sema nini Mama anaupiga Mwingi ๐Ÿ˜œ

Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro) (@mafolebaraka) 's Twitter Profile Photo

Hizi mistakes za sizing zinafanywa sana kwenye ads nyingi sana. Kurasa nyingi pia huwa zinafeli kugrow organically kwa vitu kama hivi. Hata CDM wana tatizo hili

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Wimbo wa Zuchu โ€œKwikwiโ€ hupigwa sana kwenye birthdays za watoto. Infact ni wimbo pendwa wa kuchezeka kwa watoto wengi. But lyrics zake sasa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Mtoto wa jirani hapa 12 years kaniuliza. โ€œIlivyo long inakwangua makokoโ€ Zuchu alimaanisha nini? Nilimpa Majibu ya uongo ๐Ÿ˜†