Dr.kabuje (@kabujedr) 's Twitter Profile
Dr.kabuje

@kabujedr

//love your health //medical consultant //medical advisor 🩺💊 lets talk about your health// medical technologist
//manchester United //simba fc //Realmadrid

ID: 1660721828824752132

calendar_today22-05-2023 18:58:52

5,5K Tweet

1,1K Followers

196 Following

Dr.kabuje (@kabujedr) 's Twitter Profile Photo

Huyu sio earthworms mliokua mnasoma kwenye biology Huu ni mnyoo aina ya Ascaris lumbricoides sijasema Askari wapiga virungu ni moja ya mnyoo mrefu zaidi unaishi kwenye utumbo na unaweza sababisha kutobolewa kwa utumb dawa za minyoo sh 2000/= kila baada ya miezi 3

Huyu sio earthworms mliokua mnasoma kwenye biology 
Huu ni mnyoo aina ya Ascaris lumbricoides
sijasema Askari  wapiga virungu  ni moja ya mnyoo mrefu zaidi unaishi kwenye utumbo  na unaweza sababisha kutobolewa kwa utumb dawa za minyoo sh 2000/= kila baada ya miezi 3