Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿

@k_mjege

Senior Lecturer in STEM Education, University of Dar Es Salaam, DUCE; Full-Time Father, Student, Researcher, consultant & Policy Analyst; Psalm 23

ID: 1169327647433854978

linkhttps://orcid.org/0000-0003-2567-5269 calendar_today04-09-2019 19:13:47

30,30K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Kuwa kwenye comfort zone ni ile hali ya kujisikia Amani na raha muda wote; kutokukumbana na changamoto; kujisikia ku-relax kwa hali ya juu. Kila mmoja anatamani kuwa katika hali hii—japo ni Hatari sana kuwa kwenye hali hii kwa muda mrefu