Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile
Abdulkarim Juma

@jumaabdukarim

A forum of thought and perspectives designed to ignite human right and democrac # revolutionary activist for radical change in Tanzania. team #katibampya.

ID: 1095033478566080514

calendar_today11-02-2019 18:55:00

310,310K Tweet

6,6K Followers

430 Following

lalasalama (@mzeemtamu) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ›‘Hili ni funzo kwa waliyohai hassa kwa wenye NYADHIFAโ—JOB NDUGAI ALIVYOKUA SPIKA WA BUNGENIโ—โ˜๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐ŸปSasa wewe umemfukuza lissu na mungu kakufukuza duniyani nyooooooooooooooooo Kumanina utapigwa marungu huko tena ya moto

David Mfugwa (@davidmfugwa2) 's Twitter Profile Photo

CCM imejipa umiliki wa nchi kupitia dola na taasisi mbalimbali za umma, Hii inapelekea mifumo ya uchaguzi kuwa chini yao ccm kupitia mwenyekiti wa CCM TAIFA, , wananchi tunazinduka lini kuchukua hatua ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

CCM imejipa umiliki wa nchi kupitia dola na taasisi mbalimbali za umma,  Hii inapelekea mifumo ya uchaguzi kuwa chini yao ccm kupitia mwenyekiti wa CCM TAIFA, , wananchi tunazinduka lini kuchukua hatua ?   #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Anna Tibaijuka Huu ni utetezi usiokuwa na tija. Job Ndugai alikuwa mtu mbaya na dhalimu sana. Ndugai alikuwa mtu katili. Hapa unajaribu kutuonesha kwamba Bunge ni mwanasesere tu kwa madaraka ya kiti cha Rais. Kwa msingi huo, hata wewe Profesa, ulikubali kufanya kazi katika bunge la aina hiyo

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

*โ€œChadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafuโ€* *โ€œMimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa

*โ€œChadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafuโ€*

*โ€œMimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa
Maggy Muggy (@muggymaggy) 's Twitter Profile Photo

Anaaminika, hatiliwi mashaka, mpenda Haki, kiboko ya madhulumati Ni Muongoza njia... Anayo maono ya Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Moya #NoReformsNoElection #FreeTunduLisu

Anaaminika, hatiliwi mashaka, mpenda Haki, kiboko ya madhulumati

Ni Muongoza njia... Anayo maono ya Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Moya

#NoReformsNoElection 
#FreeTunduLisu
Deogratias Munishi (@deomunishi) 's Twitter Profile Photo

Mama Anna Tibaijuka hakuna maelezo yoyote yawezayo justify unyama wa Ndugai bungeni dhidi ya upinzani na kipekee kwa Lissu. Kutekeleza udhalimu dhidi ya mtu mwema kwa maagizo ya juu ni udhalimu na mtekelezaji ni dhalimu. Kwa matendo yake Bungeni spika, Ndugai alikua DHALIMU!

Mama <a href="/AnnaTibaijuka/">Anna Tibaijuka</a> hakuna  maelezo yoyote yawezayo justify unyama wa Ndugai bungeni dhidi ya upinzani na kipekee kwa Lissu.

Kutekeleza udhalimu dhidi ya mtu mwema kwa maagizo ya juu ni udhalimu na mtekelezaji ni dhalimu.

Kwa matendo yake Bungeni spika, Ndugai alikua DHALIMU!
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Resolution on the Human Rights Situation in the United Republic of Tanzania. ACHPR/Res.640 (LXXXIV) 2025 | African Commission on Human and Peoples' Rights achpr.au.int/en/adopted-resโ€ฆ

Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile Photo

Mnawafira watu mnabaka na kuteka kutesa kumwagia timdikali na kuua raia alafu mnataka mkifa mnataka tusifurah hawapi tuachieni tufurah

Mnawafira watu mnabaka na kuteka kutesa kumwagia timdikali na kuua raia alafu mnataka mkifa mnataka tusifurah hawapi tuachieni tufurah
Pascal Yohana Haonga (@haongahon) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 08/08 siku ya mkulima alizaliwa mtoto wa wakulima wa mahindi na kahawa wilayani Mbozi.Mtoto huyo aitwaye Pascal Yohana Haonga akasomeshwa kwa kahawa na mahindi. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uzima hadi leo na malezi ya wazazi wangu na Uncle Fredy Mwasenga.

Tarehe 08/08 siku ya mkulima alizaliwa mtoto wa wakulima wa mahindi na kahawa wilayani Mbozi.Mtoto huyo aitwaye Pascal Yohana Haonga akasomeshwa kwa kahawa na mahindi.
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uzima hadi leo na malezi ya wazazi wangu na Uncle Fredy Mwasenga.