Mswahili Bantu
@jrngojo
News personality
||Cartoonist
||Founder ChEmRi tv || @simulizi255
||Content creator
||The king of shurten guard ๐
#Swalaamah !
๐น๐ฟ๐ฟ๐ฆ๐ฟ๐ฒ๐ง๐ฎ๐ฐ๐ช๐ฟ๐ผ
ID: 1560639580956528641
https://youtube.com/@simulizi255?si=GuKN3oKxeVz4DF2b 19-08-2022 14:51:58
2,2K Tweet
1,1K Takipรงi
171 Takip Edilen
๐งต๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ Mshambuliaji wa Fiorentina,Moise Kean tarehe 16/12 aliachia Albamu yake ya kwanza akiwa kama Rapa๐ฎ๐น Albamu hiyo yenye jina la "Chosen" ina track 11 huku track ya kwanza ikiwa ni "I was born a winner" Kando na Moise,unamjua mchezaji gani mwengine?
๐ฆ๐'๐ฆ๐จ๐ฆ๐๐ฐ๐ ๐๐ญ๐ฎ๐ ๐๐๐ฐ๐๐๐ฌ๐ญ๐ฅ๐ Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mmombwa amejiunga rasmi na Newcastle United Jets inayoshiriki Ligi kuu ya Australia kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu Mmombwa kabla ya kujiunga na Jet alikuwa anaitumikia Macarthur FC๐ฆ๐บ
๐ฆ๐๐ฎ๐ฌ๐ ๐๐๐ก๐ข๐ ๐๐๐ญ๐๐ฆ๐ ๐๐ฎ๐ง๐ ๐จ Klabu Ya Yanga imefikia makubalino ya kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Sead Ramovich, Taarifa hizo ziliibuka na kuthibitishwa na kurasa mama za klabu hiyo pamoja na kumtangaza Rasmi kocha mkuu mpya Hamdi Miloud
๐ฆ๐๐ค๐๐ ๐ฎ๐ณ๐ข Baada ya ukaguzi wa shirikisho la mpira wa miguu wa barani Afrika [CAF]limeidhinisha uwanja wa Mkapa kutumika kwenye michuano ya Vilabu barani afrika kwa ngazi ya nusu na Robo Fainali Ikiwa Hayo yamebainishwa na kurasa Mama za TFF TANZANIA. #MswahiliBantu
๐ฆ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ klabu ya Brighton wamekamilisha dili la kumsajili winga raia wa uingereza Tom Watson [18] akitokea klabu ya Sunderland inayoshiriki ligi daraja la kwanza Winga huyo kinda atajiunga na Brighton dirisha kubwa la kiangazi ,Soma zaidi instagram.com/p/DH9RnmEOZq0/โฆ
#๐๐ง๐๐จ๐ณ๐๐๐ฌ๐ฐ๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข๐๐๐ง๐ญ๐ฎ Marcel Malanga,Raia wa Marekani mwenye asili ya Congo aliyekuwa amehukumiwa hukumu ya kifo kutokana na jaribio la kutaka kuipindua serikali iliyo madarakani tarehe 19 mei 2024,Amepata msamaha wa kubatilishwa kwa hukumu ya kifo โถ๏ธ Play ๐
#๐๐๐ ๐จ๐ณ๐๐๐ฌ๐ฐ๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข๐๐๐ง๐ญ๐ฎ Mahakama ya kiKatiba nchini Korea Kusini imemfuta Urais Rais Yoon Suk Yeol madarakani kwa ukiukaji wa madaraka yake baada ya kutangaza sheria ya kijeshi, hatua iliyoibua mgogoro mkubwa wa kisiasa....Soma zaidi instagram.com/reel/DIBlRyxIsโฆ
๐๐ข๐๐ก๐จ ๐ฅ๐ ๐๐๐ง๐ ๐๐ซ "Penalti iliyosababishwa na Cubarsรญ haikuwa sahihi. Video Ukiicheza kwa slow motion, kila kitu kinaonekana ni kosa. Lakini kwa uhalisia sio penalty ,mpira aliucheza" Nukuu ya mzee Wenger kwa Mwamuzi Szymon Marciniak ๐ต๐ฑ kutotoa uamuzi sahihi
๐ฆ๐๐ข๐๐ฌ๐ ๐ง๐ ๐๐ซ๐จ๐ฉ๐๐ ๐๐ง๐๐ Je,Unaelewa nini kuhusu Propaganda? Kwa tafiti zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza,imebainika kuwa zaidi ya asilimia 93 ya nchi zote duniani hutumia propaganda kama silaha ya kisiasa ๐ Zaidi::instagram.com/reel/DJwUdfIMTโฆ
๐ฆ ๐๐ก๐๐ฆ๐ซ๐ข๐๐๐ฆ๐ข๐๐ก๐๐ณ๐จ Emmanuel Okwi ameeleza mtazamo wake kuelekea fainal "Kwanza naiona mechi itakuwa ngumu kwa upande wa Simba kwa sababu kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wametuzidi ila wachezaji wetu wakijitoa inawezekana'' zaidi:instagram.com/p/DKAtOhsIhER/โฆ