Hozee Kingdom ii (@josekingdom) 's Twitter Profile
Hozee Kingdom ii

@josekingdom

I

ID: 2264168323

calendar_today27-12-2013 10:43:50

4,4K Tweet

152 Takipรงi

259 Takip Edilen

Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA. Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara Kupata hii PDF yenye Pages 10. commment "nahitaji" "Repost" hii post Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia. ๐Ÿ“Œ

HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.

Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara 

Kupata hii PDF yenye Pages 10.

commment "nahitaji"
 "Repost"  hii post

Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.

๐Ÿ“Œ
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Leo binadamu anafurahia binadamu mwenzake kuuawa bila hatia ! Mungu Baba katika jina la Yesu wewe turehemu sisi watanzani. zaidi sana tupe rais unayemtaka wewe kwaajili yako mwenyewe siyo sisi na ijulikane ya kwamba wewe upo ๐Ÿ™Œ

Hozee Kingdom ii (@josekingdom) 's Twitter Profile Photo

Ni muhimu sana kujiconnect kwa Yesu mwenyewe maana yeye pekee ni ibada kamili hakuna awezaye kumzuia.. kabuli na mauti havikumuweza, ktk nyakati zote wafalme kwa wafalme walijaribu walidhindwa. NJOO KWA YESU.

Hozee Kingdom ii (@josekingdom) 's Twitter Profile Photo

Ni mara nyingi hufanya hivyo nikiwa nimemkosea mtu, maana moyo wangu huwa mzito na kukosa amani. Zaidi sana kama tumekwazana au umenikwaza huwa napenda kuwahi kuomba msamaha hii ni kwa ajili yangu.

Hozee Kingdom ii (@josekingdom) 's Twitter Profile Photo

Mtumishi wa Mungu Askofu Zakary Kakobe amefundisha jambo hili kupitia ujumbe wa toba na malipizi, ni mtihani mzito hasa linapokuja kuchukua hatua hiyo, inahitaji moyo uliopondeka haswa

Rikki Doolan ๐ŸŸฃ (@realrikkidoolan) 's Twitter Profile Photo

The British Christian revival is coming up fast. It is surprisingly the youth that are leading the way. Statistics prove it. The largest increase in church attendance is with the youth. UK is coming back to Christ.