John Mwita (@johnmwitatz) 's Twitter Profile
John Mwita

@johnmwitatz

High School Student | Chairman - CBL (Connections Based Learning) Club Tanzania | Head of Admin GYAPS Tz | Chairman - TAX Club Tanzania | Young entrepreneur

ID: 1140633803750346752

calendar_today17-06-2019 14:54:25

317 Tweet

150 Followers

353 Following

Pasco Nkololo (@nkololotz) 's Twitter Profile Photo

Familia ndo msingi wa malezi na makuzi ya watoto, kama kuna elimu dunia mtoto anapaswa kuipata ni inatakiwa ianzie katika ngazi ya familia. Hata masuala ya Elimu ya Afya ya uzazi yanatikiwa yaanzie katika ngazi ya family. Ni muhimu sana. #Sitetereki #SmartGenerationChamaLangu

Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile Photo

"Mara Nyingine Mchana Huwa Sili Chakula Zaidi Ya Kula Ngoma Za Hip hop Na Bongo Fleva Ili Ni Serv Kile Kidogo Nikipatacho Niende Kula Nyumbani Na Wife Pamoja Na Mwanangu"

Ø (@thisisadonisj) 's Twitter Profile Photo

Yesterday is history, Tomorrow is a mystery, Today is a gift of God, which is why we call it the present ~ Bill Keane

Nikkwapili (@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Katika zile stori zako nzuri ambazo unadhani ni mifano ya kuigwa hakikisha moja au mbili zinakuhusu wewe mwenye, hujazaliwa kusimulia tu ya wengine

John Mwita (@johnmwitatz) 's Twitter Profile Photo

My week on Twitter 🎉: 46 Likes, 1 Retweet, 364 Retweet Reach, 12 New Followers. See yours with sumall.com/performancetwe…

My week on Twitter 🎉: 46 Likes, 1 Retweet, 364 Retweet Reach, 12 New Followers. See yours with sumall.com/performancetwe…
Nikkwapili (@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Nikweli kwamba jamii za watu wa asili ya asia utaona kiwanda na kuambiwa babu yao alianza na Ice cream, alafu sisi utaona kibanda na kuambiwa hawa babu yao ndio alikuaga anamiliki viwanja vyote mtaa huu akauza na watoto wakaja malizia kuuza vilivyo baki???

Nikkwapili (@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Hofu hupelekea ubongo kuzalisha stress hormones ambazo hulisha chemical katika damu zinazo dhaifisha kinga ya mwili, hofu ni zao la mtizamo kichwani kwako juu ya jambo fulani “~ prof Bruce Lipton

John Mwita (@johnmwitatz) 's Twitter Profile Photo

Move ahead and never look behind, Because life gives you a chance to unwind, For now, give your best in whatever you do, Everything will be great and new, Good day!

Nikkwapili (@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Vaa barakoa, osha mikono marakwamara, epuka misongamano, kaa nyumbani kama huna shughuli za muhimu, toa taarifa kwa wahudumu wa Afya unapojisikia dalili, Kwangu hizi ndio taarifa muhimu juu ya corona....nakama kuna zingine zakuniwezesha kujikinga zaidi na kuwakinga wengine

John Mwita (@johnmwitatz) 's Twitter Profile Photo

A person can live for days together without water, food and clothing. But without any hope, a person will die within seconds.

John Mwita (@johnmwitatz) 's Twitter Profile Photo

Wadogo zangu wote mliomaliza kidato cha nne na sasa mnaenda kidato cha tano na sita, mjitahidi sana mnachoenda kuchagua huko kiwe kinauhusiano mzuri na mtakachokwenda kusoma Chuo Kikuu. Mtanishukuru baadae. Ni ngumu sana kusoma PCM au PCB halafu Chuo Kikuu usome Accounting ✍️