John Chakupewa (@johnchakupewa1) 's Twitter Profile
John Chakupewa

@johnchakupewa1

ID: 770008342391554048

calendar_today28-08-2016 21:21:10

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

3,3K Takip Edilen

INCstayhuman (@immortalnchrist) 's Twitter Profile Photo

Fan Elon Musk Yes Joshua 1 8 This Book of the Law shall not depart from your mouth, but you shall meditate on it day and night, so that you may be careful to do according to all that is written in it. For then you will make your way prosperous, and then you will have good success The Bible

John Chakupewa (@johnchakupewa1) 's Twitter Profile Photo

LET'S PRAY FOR ISRAEL TODAY. 1.Ombea Taifa la Israeli kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu. 21 Kumbuka haya, Ee Yakobo; nawe Israeli, maana wewe u mtumishi wangu; nimekuumba; u mtumishi wangu; Ee Israeli, hutasahauliwa na mimi. Isaya 44:21 2.Ombea kwa kuwa ni lango Kutoka 4:22

LET'S PRAY FOR ISRAEL TODAY. 

1.Ombea Taifa la Israeli  kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu.

21 Kumbuka haya, Ee Yakobo; nawe Israeli, maana wewe u mtumishi wangu; nimekuumba; u mtumishi wangu; Ee Israeli, hutasahauliwa na mimi. 
Isaya 44:21

2.Ombea kwa kuwa ni lango 
Kutoka 4:22
Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Rum 12:1 SUV

John Chakupewa (@johnchakupewa1) 's Twitter Profile Photo

18 Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu, na kuliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia? Hashiki hasira yake milele, kwa maana yeye hufurahia rehema. Mika 7:18 19 Atarejea na kutuhurumia; atayakanyaga maovu yetu; nawe utazitupa dhambi zao zote katika ..

John Chakupewa (@johnchakupewa1) 's Twitter Profile Photo

17 Bali katika mlima Sayuni watakuwako wenye kuokoka, nao utakuwa mtakatifu; na nyumba ya Yakobo watamiliki milki zao. Obadia 1:17

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿 (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Ezra 9:6-7,10-11,15 [6]nikasema, Ee Mungu wangu, nimetahayari, naona haya kuinua uso wangu mbele zako, Mungu wangu; kwa maana maovu yetu ni mengi, hata yamefika juu ya vichwa vyetu, na hatia yetu imeongezeka na kufika mbinguni. [7]Tangu siku za baba zetu tumekuwa na hatia

John Chakupewa (@johnchakupewa1) 's Twitter Profile Photo

Hosea 11:10 "10 Watakwenda kumfuata Bwana, atakayenguruma kama simba; kwa maana atanguruma, nao watoto watakuja kutoka magharibi wakitetemeka" 🙏 Maombi : Ee Bwana Mungu wa majeshi, sauti yako ni yenye nguvu na mamlaka. Nifundishe nikuheshimu na kuitii sauti yako. Amina.