
Bagabo john
@johnbagabo3
website news and Media
ID: 1242130493233119234
23-03-2020 16:46:21
756 Tweet
222 Takipรงi
339 Takip Edilen

Kiongozi wa Chama cha Kidemokrasia na Ulinzi wa Mazingira (DGPR), Dk. Frank Habineza, amesema kuwa mamlaka za mitaa bado ni kikwazo kwa Wanyarwanda kujiunga na vyama vya kisiasa wanavyovipenda. Ministry of Local Government | Rwanda Democratic Green Party of Rwanda ๐ท๐ผ Dr.Frank Habineza
