baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile
baba G

@joelymode4

Mbeya

ID: 1554320653469237248

calendar_today02-08-2022 04:18:33

238 Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Kaka, Mwanamke asiye sahihi atakufanya ujihisi kama wewe sio chochote kwenye hii Dunia Ila mwanamke sahihi atathamini hata mambo madogo unayoyafanya. Nguvu na jitihada zako ni za thamani kubwa sana, zitumie kwa mtu anayejua kuzithamini.

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke asiyesahihi kwako hawezi kushukuru wala kuthamini kwa chochote utachomfanyia iwe kikubwa ama kidogo. Tambua ilipo thamani yako usilazimishe upendo kwa kupoteza Muda, Nguvu zako na Mali zako.

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Good morning ๐ŸŒž Mwanangu, jifunze kujichagua mapema. Usingoje mtu akuthibitishe thamani yako. Ukianza kuomba kupendwa, tayari umejipoteza. Upendo wa kweli haukufanyi uogope kusema ukweli wako wala kukaa kimya ili usiachwe

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Maisha yamejaa masomo mengi sana ambayo yanahitaji kujifunza Unaweza usijifunze kutokana na makosa yako lakini unaweza kuwa makini na makosa ya watu wengine na ukapata somo. Lazima utambue kuwa kila kitu ni somo kwenye hii Dunia.

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Unapoishi na watu weka hii akilini kua nyuma ya mgongo wako unachukiwa kuliko unavyodhani , hakikisha haumuamini mtu hata Kama wote wanakuchekea ๐Ÿค” .

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธNi Neema sana Ukiwa na Marafiki Ambao Wanakusogezea Mchongo Bila Kuionea Tamaa pesa Utakayopata.๐Ÿ“Œ

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Bro to Bro... โ€œUnayemchagua na kumuweka ndani ndiyo ataamua kiwango chako cha Furaha au Huzuni katika maisha yako yote.โ€ ๐Ÿ‘Š๐Ÿ™Œ Chagua sahihi. โœ…

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning! Usimdhihaki mtu yeyote ili tu kuburudisha watu, hata kama wewe ni bora kuliko wao. Kila mtu anajaribu hakuna mtu anayetaka kuwa mtumwa wa mtu yeyote. Kila mtu anapigania kuwa bora kwa ajili yake mwenyewe Sio kwamba watu ni wavivu maisha ni magumu

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Kwenye haya maisha jitahidi kujenga uaminifu kwa kila kitu unacho fanya uaminifu ni mtaji kuna watu wengi sana waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.Kosa vyote lakini usikose kuwa mwaminifu.!โœŒ๐ŸผโœŒ๐Ÿผ

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Maandiko yanasema unapomwacha Mungu ainuke, adui zako watatawanyika. Unyogovu, ukosefu, shida, haziwezi kusimama dhidi ya Mungu wetu. Unapomwacha ainuke, minyororo iliyokuzuia itavunjika, matatizo yanayoonekana kudumu yatageuka.๐Ÿ™

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni mtihani mgumu zaidi ... watu wengi hushindwa kwa sababu wanajaribu kunakili wengine, bila kutambua kuwa kila mtu ana karatasi ya maswali tofauti. Good morning Niwatakie jumapili nyote ๐Ÿ™๐Ÿพ

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Tumia wakati unapo pata wakati. itafika wakati utapitwa na wakati. na Kweny huo wa wakati hautaweza kufanya chochote kwasababu utakua umeshapitwa na wakati ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

1. Kuwa tayari kushindwa. 2. Kuwa tayari kuchukiwa. 3. Kuwa tayari kuanza upya. 4. Kuwa tayari kuonekana mjinga. 5. Kuwa tayari kukosolewa. Hiyo ndiyo njia pekee ya kufanya jambo kubwa hakuna njia nyingine

baba G (@joelymode4) 's Twitter Profile Photo

Good morning ๐ŸŒž Msikubali kuwa majeraha ya kesho kwa sababu ya hisia za leo. Pendeni kwa hekima, na mkipenda, mjue thamani yenu kwanza. Maana asiyejithamini, hata akipendwa vipi, ataishia kuumia.