Nyerere asingekuwa mwanasiasa na kujikita kwenye uandishi yawezekana angekuwa mwanafasihi mashuhuri sana. Ukisoma tafsiri ya Shakespeare ya Julius Caesar aliyoifanya inaonesha alikuwa na sanaa nzuri ya kiuandishi. Nitafurahi sana kusoma hii tafsiri yake nyingine ya kitabu🔥