Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP (@jnhpproject) 's Twitter Profile
Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP

@jnhpproject

Huu ni ukurasa rasmi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere, Tanzania I This is the official account of the Julius Nyerere Hydropower Project in Tanzania.

ID: 1094243619530309633

calendar_today09-02-2019 14:36:23

100 Tweet

1,1K Followers

35 Following

Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP (@jnhpproject) 's Twitter Profile Photo

Tumefanikiwa kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme (Overall Electeicity Access Rate) nchini, kutoka asilimia 67.8 mwaka 2016 na kufikia asilimia 84.6 mwaka 2020.

Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) leo Oktoba 16, 2020 imefanya ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) Mw 2115

Makala hii inaonesha jitihada za Serikali ya Tanzania katika kuwekeza kwenye Nishati ya uhakika na bei nafuu ya Umeme wa Maji #hydropower #JNHPP kupitia #TANESCO kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae.

Makala hii inaonesha jitihada za Serikali ya Tanzania katika kuwekeza kwenye Nishati ya uhakika na bei nafuu ya Umeme wa Maji #hydropower #JNHPP kupitia #TANESCO kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Fuatilia kwenye YouTube channel youtu.be/UGkktHKSbn0

Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP (@jnhpproject) 's Twitter Profile Photo

"Umeme unaozalishwa kwa maji ni umeme wa bei nafuu, kutokana na umeme wa maji kuzalishwa kwa gharama kidogo hivyo tutarajie bei ya umeme kwa Wateja kushuka" Meneja Uhusiano TANESCO, Johary Kachwamba - JNHPP.

Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP (@jnhpproject) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Waziri Kalemani JNHPP Kukagua Maendeleo ya Mradi Tuatilia kupitia you tube channel yetu, uweze kufahamu maendeleo ya utekelezaji mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere Mw 2115. youtu.be/s_4LCDu1l1s

Ziara ya Waziri Kalemani JNHPP Kukagua Maendeleo ya Mradi

Tuatilia kupitia you tube channel yetu, uweze kufahamu maendeleo ya utekelezaji mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere Mw 2115.

 youtu.be/s_4LCDu1l1s