FreeLissu (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile
FreeLissu

@jizzlewantandu

Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu//The enemy of my enemy is my friend// Man City💙//Simba Sc//
Hala Madrid// ph 4:13//Incauda venenum

ID: 1532590217596633088

calendar_today03-06-2022 05:10:09

297,297K Tweet

10,10K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tundu Lissu kueleza Mahakama utaratibu wa makazi yake akiwa gerezani ulivyo wa ajabu, na kwamba hatendewi haki, amelitaka jopo la mawakili wake wajiondoe na atajitetea mwenyewe katika shauri lake la uhaini. Hivyo, kuanzia sasa ni Tundu Lissu Vs Mawakili wa Serikali.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

SC Lissu: “Nawashukuru Mawakili wangu. You fought bravely, professionally; you did your duty, and you did it well. It’s time to step aside. Kuanzia sasa mimi ndiye ntakayejibizana na hawa Mawakili wa serikali.”

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Huyu anayeonekana hapa ni mtuhumiwa ambaye akikutwa na hatia hukumu yake ni kunyongwa. Ukimtoa kama Mwanasiasa upande wa Pili ni Baba wa Familia. Haki itashinda👊👊

Huyu anayeonekana hapa ni mtuhumiwa ambaye akikutwa na hatia hukumu yake ni kunyongwa. Ukimtoa kama Mwanasiasa upande wa Pili ni Baba wa Familia.

Haki itashinda👊👊
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨‼️WA NDANI ZANZIBAR ANAELEZA ZIARA COMORO INA MAMBO MENGI‼️🚨 Jamani huyu ni wa ndani kabisaaaa amemchoka pia huyu Bi Kizimkazi Anadai kuwa ziara ya Comoros kuna mganga wamemtayarishia kabisa 😀 Mambo magumu kumbe? Na kasema akibisha aseme suu aweke details! Dah huyu Mama yao

🚨‼️WA NDANI ZANZIBAR ANAELEZA ZIARA COMORO INA MAMBO MENGI‼️🚨
Jamani huyu ni wa ndani kabisaaaa amemchoka pia huyu Bi Kizimkazi 
Anadai kuwa ziara ya Comoros kuna mganga wamemtayarishia kabisa 😀
Mambo magumu kumbe? Na kasema akibisha aseme suu aweke details!
Dah huyu Mama yao
MEDIA KUU✨🎉 (@mediakuu07) 's Twitter Profile Photo

Huko YouTube pamoto sana kuliko X Wala Instagram watu wa kule wapo real sana huwezi Kuta wakisukuma reli ya tazara Nimekusogezea Tukio zima la Leo MH.Lissu anasemea kuishi death room jamaa aliomba kujiwakili mwenyewe Nimekuwekea comment za Wana YouTube wanavyowaka moto asee

Huko YouTube pamoto sana kuliko X Wala Instagram watu wa kule wapo real sana huwezi Kuta wakisukuma reli ya tazara

Nimekusogezea Tukio zima la Leo MH.Lissu anasemea kuishi death room jamaa aliomba kujiwakili mwenyewe

Nimekuwekea comment za Wana YouTube wanavyowaka moto asee
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

The world is watching: Hizi kesi za uongo zitawavua nguo, Dunia itawajua nyie ni kina nani hasa, Watanzania watapata nafasi ya kuwajua vyema pia. #NoReformsNoElection

PROFESA FUTIBOLI (@profesafootball) 's Twitter Profile Photo

Ndoa ilimtesa rafiki yetu mmoja mpaka akawa anafosi kumuandikia talaka mwanamke, afu mwanamke akawa analeta utata kuzipokea , siku aliyofanikiwa kuachana nae jamaa aliandaa sherehe kubwa kabisa tukala na kunywa pale kwake.

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Treni la odds 21 tucheze wote kupitia WIN WIN Mkeka odds 21+ Code L25Z7 Stake high 3.3K Kama hauna account ya WIN WIN jisajili hapa👇 REG topgamewinwin.org/JBRSCs APK topgamewinwin.org 🔥Promocode, Anna

Treni la odds 21 tucheze wote kupitia WIN WIN

Mkeka odds 21+
Code L25Z7
Stake high 3.3K

Kama hauna account ya WIN WIN jisajili hapa👇

REG topgamewinwin.org/JBRSCs

APK topgamewinwin.org

🔥Promocode, Anna
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Nahitaji Tshs. 2,368,500/= ili nifanyiwe operation mbili. Hii ni gharama nje ya ile ya jana (nililipa) wakaniwekea vyuma kwa ajili ya kunyosha fizi Nimepokea 1,206,450/= imepelea 1,161,550/= Namba: 0627422184 Jina - Samwel Matarra CRBD acc. 0152955217000 Jina - Samwel Matara

Nahitaji Tshs. 2,368,500/= ili nifanyiwe operation mbili. Hii ni gharama nje ya ile ya jana (nililipa) wakaniwekea vyuma kwa ajili ya kunyosha fizi

Nimepokea 1,206,450/= imepelea 1,161,550/=

Namba: 0627422184
Jina - Samwel Matarra

CRBD acc. 0152955217000
Jina - Samwel Matara
Mmeru wa Arusha 🇨🇦🇮🇱 🐕🐕 (@hip_hop_ndogo_g) 's Twitter Profile Photo

Hawa wataenda ACT Kwasababu ya Huu Upepo alafu mmoja atagombea Urais. Tukijichanganya kufata upepo wao kimekula kwetu tukomae na kauli mbiu yetu ya #NoReformsNoElection Ikitokea wakaisapoti tuwaunge mkono ila sio janja janja zisizo na maana sisiem izi mbinu wanazitumia sana

Hawa wataenda ACT  Kwasababu ya Huu Upepo alafu mmoja atagombea Urais. Tukijichanganya kufata upepo wao kimekula kwetu tukomae na kauli mbiu yetu ya #NoReformsNoElection 
Ikitokea wakaisapoti tuwaunge mkono ila sio janja janja zisizo na maana sisiem izi mbinu wanazitumia sana
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Shambulio hili dhidi ya chama chetu na shughuli za chama linafanywa na watu wanaotumiwa na serikali. Saidi Issa alikua Makamu mwenyekiti wa chama kwa miaka 15, yeye ameshiriki vikao vyote vya chama vya maamuzi ya juu. Hakuwahi kulalamikia mgao wa chama kwa Zanzibar. Inakuaje