Shalipopo✝️(@jinnyX66) 's Twitter Profileg
Shalipopo✝️

@jinnyX66

I just deserve success, it’s my birthright.

ID:1642468241774616576

calendar_today02-04-2023 10:05:32

43,3K Tweets

3,7K Followers

2,6K Following

Mishy🇲🇫(@SharonMontana20) 's Twitter Profile Photo

Mama Yangu Ni Shabiki Wa Arsenal Kindakindaki Sasa Mimi Nampigia kumtakia Goodnight Ananiambia Nisimzoee🤦🤦sasa Nini Kosa langu

account_circle
Shalipopo✝️(@jinnyX66) 's Twitter Profile Photo

Mimi nilikimbia mafundisho lakini si Moses alimezwa na samaki si ni peter alivyo jaribu kutembea kama yesu kwenye maji ndio samaki akampitia ??

account_circle
Shalipopo✝️(@jinnyX66) 's Twitter Profile Photo

Kuna wanangu wakinipigia simu wameshapata mishe au mambo yao Yana songa huwaga nafurahi sana naamini mambo yatakaa sawa tu

account_circle
TUNECHI🇦🇺(@Thereal_Kabote) 's Twitter Profile Photo

Ubaguzi ni jambo la hovyo sana ukishindwa kujiamini unaweza usitamani kujichanganya na watu

Jana nimefanyiwa ubaguzi kulingana na hali niliyonayo iliniuma mno nika📞 kadhaa mahala huwanaamini napata utulivu japo sikufanikiwa but ⚽️ will always there wazee❤🙌

Tusibague watu🙏

account_circle
Nado Kid(@NadoKidson) 's Twitter Profile Photo

Anaweza fanya ambae hajui kiswahili akapenda ngoma zake production kali midundo ile afu anapatia zaidi akiingiza sauti yake swaggz flows na amesainiwa Sonny Music management Rock Star

Young Lunya atavuka boda zaidi usije shangaa kuona Young Lunya Featuring Nasty C au Ruger

Anaweza fanya ambae hajui kiswahili akapenda ngoma zake production kali midundo ile afu anapatia zaidi akiingiza sauti yake swaggz flows na amesainiwa Sonny Music management Rock Star Young Lunya atavuka boda zaidi usije shangaa kuona Young Lunya Featuring Nasty C au Ruger
account_circle
JEGA💕🫶(@GastonJenifa) 's Twitter Profile Photo

Habari za asubuhi
Kama utawiwa Friday tufunge🙃,kila mtu kwa imani yake,tuombee familia zetu,mitikasi ya apa na pale,afya uzima,na matatizo mengi ya apa na pale,na maombi fulani na vifungu vya bible
Most of us we going through alot,guess kurudi kwake is the best thing
Esta 4:16

account_circle
Miss Versatile 🕊📖 ♒🎹(@nice_jonas4) 's Twitter Profile Photo

Kweli ndege wafananao huruka pamoja
Naangalia wadada wenye i phone marafiki zao wote hukua na iphone 😂😂 marafiki zangu wote wanatumia itel .infinix mimi ndio mwenye Samsung na huzima ikiwa na 100 😂😂😂😂😂
Sema ni life tu

Kweli ndege wafananao huruka pamoja Naangalia wadada wenye i phone marafiki zao wote hukua na iphone 😂😂 marafiki zangu wote wanatumia itel .infinix mimi ndio mwenye Samsung na huzima ikiwa na 100 😂😂😂😂😂 Sema ni life tu
account_circle