JIMMIE NICKS (@jimmie_nicks) 's Twitter Profile
JIMMIE NICKS

@jimmie_nicks

Political Analyst

ID: 1457677403568881669

calendar_today08-11-2021 11:52:43

1,1K Tweet

336 Takipçi

1,1K Takip Edilen

JIMMIE NICKS (@jimmie_nicks) 's Twitter Profile Photo

kunazo kero za barabara, kwa mfano Mwala Kangundo road hadi wa leo, mp Kawaya na Fabian utawaona kwa ziara na Rais lakini kwa utendakazi hakuna. Maendeleo na ujenzi wa barabara imekwama, swala la barabara ni swala muhimu kwa kila mkenya hivyo basi naomba viongozi hawa waajibike