Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile
Joseph George Kakunda

@jgkakunda

Member of Parliament, Sikonge Constituency, Tanzania. Former Minister of Industries and Trade. Economist, M&E Specialist and Business Analyst

ID: 1252178634804207616

calendar_today20-04-2020 10:14:12

157 Tweet

339 Followers

371 Following

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Leo nimewashauri viongozi wa mabingwa wa kuchezea Kabumbu, Soka, Mpira wa Miguu au Gozi la Ng'ombe TZ SSC waanze kumfuatilia mchezaji aitwaye TUYISILA KISINDA. Huyu anaweza kutufaa kwenye mechi za kimataifa. Nawapongeza DYASC kwa kutusaidia kutuletea baadhi ya Wachezaji wazuri.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Huwa hayahitajiki maneno mengi kusema KWELI. Sema kweli uwe mpenzi wa Mungu. Yupo mgombea URAIS mmoja huwadanganya wazungu kuwa yeye anavaa barakoa muda Wote anaogopa corona watu wasigusane. Lakini kwenye kampeni havai barakoa na kila mahali anakumbatiwa. Je huyo MTU siyo MUONGO?

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yetu anayeitwa Daktari wa Manesi kanifurahisha sana juzi kwenye twita yake. Kasema "kitu pekee kinachoweza kumfanya mtu maskini aheshimike katika jamii ni matumizi sahihi ya ulimi wake". Ni ujumbe mzuri uliosadifu mafundisho mengi ya mitume na manabii wa Mungu. ASANTE SANA.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Hatoruhusiwa kurudi Tanzania! KARUDI! Atakamatwa Airport! HAKUKAMATWA! Atakamatwa akiandamana! HAKUKAMATWA! Atanyimwa fomu ya URAIS! KAPEWA!! Atawekewa pingamizi! HAKUWEKEWA. Tume haitamteuea! KATEULIWA. Atanyimwa viwanja vya kampeni! KAPEWA. Njia ya MUONGO SIKU ZOTE NI FUPI.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

ANATAMBA Ataruhusu USHOGA. ANATAMBA Atavunja MUUNGANO. Atauza Ndege za ATCL. Atasitisha Ujenzi wa BARABARA, AIRPORTS, MADARAJA, RELI, MRADI WA UMEME wa NYERERE nk eti ni HASARA. Ataruhusu UVUVI HARAMU na Mifugo kwenye HIFADHI. Atawaachia HURU Wahalifu Wote. SERA ZA AJABU SANA.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 1 Mei 2020 CHADEMA waliwafungia ndani Wabunge wao kama KUKU ingawa baadhi walikataa. Akichaguliwa LISSU mtafungiwa ndani Kama KUKU hakuna kutoka nje. Sala Makanisani, Misikitini; mikusanyiko ya Ndoa, Michezo nk itapigwa marufuku Hadi atakaporuhusiwa na WAZUNGU.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais wa CHADEMA hajui umuhimu wa Reli na njia nyingine za usafirishaji kwenye maendeleo ya Viwanda. Utaendelezaje Viwanda bila kusafirisha shehena? Hii kweli ni VIOJA. SERA ZA AJABU KABISA. Hajui umuhimu wa umeme kwenye Viwanda!!

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kuwa Rais wa Nchi ambayo wewe kila Siku unapinga Maendeleo yake. Huwezi kuwa Mbunge wa Jimbo ambalo wewe kila Siku unapinga Maendeleo yake. Huwezi kuwa Diwani wa Kata ambayo wewe kila Siku unapinga Maendeleo yake. TAFAKARI SANA MTANZANIA. CHAGUA WANAOPIGANIA MAENDELEO.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Wanatutukana na kutukejeli si kwa Mapenzi yao Bali Wameamrishwa na WAZUNGU Wafanye Hivyo. WAMENUNULIWA. Hata hivyo tunawaambia MATUSI YAO ndio KITANZI CHAO; Tarehe 28 Oktoba 2020 ndiyo HUKUMU YAO. WATAADHIBIWA kwa KUNYIMWA KURA. TUWE MACHO WATAKAPONYIMWA KURA WASITUVURUGIE AMANI.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

MATUSI YAO, KEJELI ZAO, DHARAU ZAO, NA KUKOSA KWAO USTAARABU NDIO KITANZI CHAO. HUKUMU YAO NI KUWANYIMA KURA TU KUANZIA SAA 12 ASUBUHI HADI MUDA MFUPI KABLA YA SAA 10 KAMILI JIONI TAREHE 28 OKTOBA 2020. WANAMTUKANA ALIYEWAJENGEA LAMI NA MIRADI MINGI HADI KWENYE MAJIMBO YAO.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

KTK Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA ukurasa wa 84 wamewaahidi Watanzania kuwa TUNDU LISU akichaguliwa watayaweka madini yetu yote REHANI KWA WAZUNGU kwa ajili ya kujengewa miradi miundombinu Kama miradi ya UMEME, BARABARA nk. WaTZ muwe MAKINI jamaa Wanajiandaa KUUZA NCHI YETU. Mwee.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Jana LISU akiwa Sumbawanga ameuliza watu "mnamfahamu Mkurugenzi wa Manispaa Yenu"? Akasema akishinda Urais "Kila MTU atafanya Kazi kwao alikozaliwa" Daktari atibu kwao, Mwalimu afundishe kwao, Mkurugenzi aongoze kwao, Nesi, Mhandisi, nk. Nchi Gani DUNIANI ipo hivyo?

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Mara "Mwenyekiti Mbowe kachota Sh Milioni 50 kinyume cha utaratibu!!"; Mara "Wabunge walichangishwa MAMILIONI Mwenyekiti Mbowe kayawekeza kwenye mradi binafsi!!" nk!! Pia "Ilani ya CHADEMA UK 84 "wataweka REHANI MADINI wapate MIKOPO"! JE mkiwachagua hao TANZANIA ITABAKI SALAMA?.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Nawasalimu ndugu zangu wanaSikonge na Watanzania wore; HAMJAMBOO? Nawatakia Amani, Umoja, Ustamilivu, Upendo, Mshikamano, Ushirikiano, Hekima, Busara na Umoja. Heko kwa Jeshi la Polisi kwa hatua ya kutowapa mwanya JAMAA wasioitakia mema nchi hii.

Yupo Mgombea URAIS ni Mwanasheria lakini hajui kwamba kuwa mgombea siyo taasisi. Taasisi ni Chama kilichomdhamini. Anapelekewa barua ya wito kupitia Katibu Mkuu wa Chama chake anakaidi. Sasa kaadhibiwa anaanza kulialia. Jambo dogo tu kama Hilo hajui! Je, ATAWEZAJE KUONGOZA NCHI?

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

WAAMBIENI ACT NA CHADEMA KWAMBA KWA MUJIBU WA SHERIA YA UCHAGUZI, CHAMA HAKIWEZI KUJITOA KUGOMBEA NAFASI YOYOTE. MTU PEKEE ANAYEWEZA KUJITOA NI MGOMBEA. KAMA CHADEMA WAMEFANIKIWA KUMSHAWISHI MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR AJITOE, BASI ACT WAMEGONGA MWAMBA KWA MEMBE. UMOJA WAO HAUPO.

Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Œ *SALAMU ZA PONGEZI* πŸ—“οΈ _31/3/2024_ Binafsi nakupongeza sana Mhe. Zainab Athuman Katimba (MB) kwa kuaminiwa na Rais kusimamia majukumu ya Naibu Waziri,Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Hongera Sana Mwana wa Kigoma. Mungu akupe Nguvu na Maarifa.

πŸ“Œ *SALAMU ZA PONGEZI* 

πŸ—“οΈ _31/3/2024_

Binafsi nakupongeza sana Mhe. Zainab Athuman Katimba (MB) kwa kuaminiwa na Rais kusimamia majukumu ya Naibu Waziri,Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Hongera Sana Mwana wa Kigoma. Mungu akupe Nguvu na Maarifa.
Joseph George Kakunda (@jgkakunda) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia sasa Simba wavae jezi za BLUU tu siyo nyeupe wala nyekundu hadi timu itakaporekebishwa. Tuliwashauri viongozi wa Simba lakini walituona maadui na Wajinga!! AIBU, AIBU, AIBU!!! MANULA, KAPOMBE, SHABALALA, KENEDI, SAIDO, PA JOBE, FRED, na BOKO, hawafai; Timu ivae tu BLUU.