E.G.M (@jeseganleft) 's Twitter Profile
E.G.M

@jeseganleft

Mzalendo l
Mpenda haki l
Mlezi l
Baba wawasio na baba.

ID: 498227537

calendar_today20-02-2012 20:38:03

2,2K Tweet

469 Followers

603 Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha

Abuu Ruwayda (@bakariyahaya7) 's Twitter Profile Photo

As salaam alaikum shamba la mikorosho lenye ukubwa wa hekari 30 linaunzwa Kwa sh mil 25 lipo Kijiji cha mihima wilaya ya masasi mkoani mtwara

As salaam alaikum shamba la mikorosho  lenye ukubwa wa hekari 30 linaunzwa Kwa sh mil 25 lipo Kijiji cha mihima wilaya ya masasi mkoani mtwara
Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”…..! Tusifike huku, huku ni mbali sana Ndg zangu, Tanzania ni ya watanzania wote ijengwe na watanzania wote…! Tusibaguane kwa vyama wala kwa Dini zetu, Hii ni Nchi Nzuri tuliyopewa na Mungu

Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Rasmi sasa Mbeya City inaungana na Mtibwa kurejea Ligi kuu ambao wenzao Mtibwa Sugar walikuwa wa kwanza kukata tiketi tangu Juma lililopita Mbeya City amefikisha alama 65 ambazo haziwezi kufikiwa na yoyote kati ya Stand na Geita Gold

Rasmi sasa Mbeya City inaungana na Mtibwa kurejea Ligi kuu ambao wenzao Mtibwa Sugar walikuwa wa kwanza kukata tiketi  tangu Juma lililopita 

Mbeya City amefikisha alama 65 ambazo haziwezi kufikiwa na yoyote kati ya Stand na Geita Gold
Africa Soccer Zone (@africasoccer_zn) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian football fans are still trying to figure out what clock the referee was using in the Simba vs. Mashujaa game! ⏱️😂 15 minutes time was added on, but Simba scored the winner long after the 15 minutes.... extra time had extra time #AfricaSoccerZone #AfricanFootball

Tanzanian football fans are still trying to figure out what clock the referee was using in the Simba vs. Mashujaa game! ⏱️😂  

15 minutes time was added on, but Simba scored the winner long after the 15 minutes.... extra time had extra time 

#AfricaSoccerZone #AfricanFootball
Doktamathew (@doktamathew) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu watanzania wakubwa shikamoni wadogo habarini za leo poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku,mimi kwa jina naitwa moi kikoti naishi na bibi angu mpendwa morogoro vijijini tunapitia mengi lkn kubwa nilipata ajali mbaya sana nilikatika mguu nilibaki na mfupa mmoja

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Hello CAF_Online Football in Tanzania is no longer safe. A major club like Young Africans SC has abandoned sportsmanship and aligned itself with the ruling party (CCM) linked to killings, abductions and persecution of citizens and opposition members. This destroys the image of football

Hello <a href="/CAF_Online/">CAF_Online</a> Football in Tanzania is no longer safe. A major club like <a href="/Yanga1935/">Young Africans SC</a> has abandoned sportsmanship and aligned itself with the ruling party (CCM) linked to killings, abductions and persecution of citizens and opposition members. This destroys the image of football
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hello, FIFA I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA. Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a

Hello, <a href="/FIFAcom/">FIFA</a> 

I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA.

Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a