Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile
Joseph Bagonza

@jesebagonza

ID: 1215690306601017344

calendar_today10-01-2020 17:42:23

14,14K Tweet

7,7K Followers

4,4K Following

Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

SAMIA AFUNGUKA KUHUSU VIJANA WALIOSHTAKIWA KWA UHAINI. Katika hotuba yake, amesema vijana wengi hawakujua uzito wa matendo yao. Amemuagiza DPP kuchunguza makosa hayo na kuwasamehe wale waliofuata mkumbo bila nia ya kutenda uhalifu.

SAMIA AFUNGUKA KUHUSU VIJANA WALIOSHTAKIWA KWA UHAINI.
Katika hotuba yake, amesema vijana wengi hawakujua uzito wa matendo yao. Amemuagiza DPP kuchunguza makosa hayo na kuwasamehe wale waliofuata mkumbo bila nia ya kutenda uhalifu.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AWAAHIDIA VIJANA SAUTI KUBWA SERIKALINI Amesema serikali inapanga kuanzisha Wizara ya Vijana na kuweka washauri Ikulu ili kuhakikisha vijana wanashiriki kikamilifu katika mustakabali wa taifa na majukwaa yao yanarejesha malengo ya msingi.

RAIS SAMIA AWAAHIDIA VIJANA SAUTI KUBWA SERIKALINI
Amesema serikali inapanga kuanzisha Wizara ya Vijana na kuweka washauri Ikulu ili kuhakikisha vijana wanashiriki kikamilifu katika mustakabali wa taifa na majukwaa yao yanarejesha malengo ya msingi.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

SAMIA ATOA ONYO KWA WATENDAJI WA SERIKALI Rais Samia amesema serikali haitovumilia uzembe kwa watendaji. “Watendaji wa serikali msipobadilika kuendana na matarajio ya wananchi, tutawabadilikia.”

SAMIA ATOA ONYO KWA WATENDAJI WA SERIKALI
Rais Samia amesema serikali haitovumilia uzembe kwa watendaji. “Watendaji wa serikali msipobadilika kuendana na matarajio ya wananchi, tutawabadilikia.”
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AKITANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri tarehe 17 Novemba, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

RAIS SAMIA AKITANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri tarehe 17 Novemba, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan amesema leo Ikulu Chamwino, Dodoma, wakati wa kuwaapisha Mawaziri wapya, kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaanza kutekeleza miradi ya kimkakati kwa fedha za ndani, kisha washirika wa maendeleo watahusika. Matokeo ya miradi yawe dhahiri kwa wananchi.

UCHUNGUZI WA MATUKIO YA OKT 29 WAZINDULIWA. Rais Samia ameunda Tume Huru kuchunguza uvunjifu wa amani uliotokea Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti ni Jaji Mstaafu Chande Othman akisaidiwa na wataalamu mbalimbali.

UCHUNGUZI WA MATUKIO YA OKT 29 WAZINDULIWA.
Rais Samia ameunda Tume Huru kuchunguza uvunjifu wa amani uliotokea Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti ni Jaji Mstaafu Chande Othman akisaidiwa na wataalamu mbalimbali.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI WAKUU. Rais Samia ameongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ikulu Chamwino leo Novemba 19, 2025.

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI WAKUU.
Rais Samia ameongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ikulu Chamwino leo Novemba 19, 2025.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

MABADILIKO MAPYA IKULU Rais Samia amefanya uteuzi: Tido Mhando Mshauri wa Rais (Habari), Bakari Machumu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Lazaro Nyalandu Balozi.

MABADILIKO MAPYA IKULU
Rais Samia amefanya uteuzi: Tido Mhando Mshauri wa Rais (Habari), Bakari Machumu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Lazaro Nyalandu Balozi.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wazee wa Dar es Salaam amesema kuwa ingawa matamko manane yametolewa na TEC, bado yamekuwa yakikinzana kwa sababu baadhi ya waliodai kusimama kwenye mstari wa haki wanaona yaliyofanyika ni batili hivyo kuleta mgawanyiko ndani yao.

RAIS SAMIA: “KAMA HUNIPENDI, USIVURUKE NCHI” Akiwa akizungumza na wazee wa Dar es Salaam JNICC, Rais Samia amesema hakuna kiongozi aliyewahi kupendwa na kila mtu. Amesisitiza kuwa kutompenda mtu binafsi si sababu ya kuvuruga nchi, iwe kwa dini, asili au mtazamo tofauti.

RAIS SAMIA: “KAMA HUNIPENDI, USIVURUKE NCHI”
Akiwa akizungumza na wazee wa Dar es Salaam JNICC, Rais Samia amesema hakuna kiongozi aliyewahi kupendwa na kila mtu. Amesisitiza kuwa kutompenda mtu binafsi si sababu ya kuvuruga nchi, iwe kwa dini, asili au mtazamo tofauti.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

akizungumza na wazee wa Dar es Salaam Rais Samia amesema amesikia mmoja wa waandaaji wa nje akitaka maandamano ya Desemba 9 yaahirishwe hadi Krismasi kwa kuwa tumejipanga Amesisitiza: “Wakati wowote wakija, tumejipanga.”

DKT. ARON AFUNUA SABABU 7 ZA META KUFUNGIA INSTAGRAM YA MANGE KIMAMBI. Meta imefungia Instagram ya Mange Kimambi kwa maudhui hatarishi: kudhalilisha, uchochezi, upotoshaji, lugha kali na maudhui ya kingono. Lengo ni kulinda watumiaji mtandaoni. #MangaKimambi #Meta

DKT. ARON AFUNUA SABABU  7 ZA META KUFUNGIA INSTAGRAM YA MANGE KIMAMBI.
Meta imefungia Instagram ya Mange Kimambi kwa maudhui hatarishi: kudhalilisha, uchochezi, upotoshaji, lugha kali na maudhui ya kingono. Lengo ni kulinda watumiaji mtandaoni. #MangaKimambi #Meta
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

MANGE NA CHADEMA WALIPANGA KICHOMA MOTO NCHI SI MAANDAMANO. Dkt. Nyamatari Mtengecha asema walipelekwa Nairobi kupata mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya kuharibu amani. Alitoa kauli hii mbele ya Watanzania na Rais Samia. @meta @swedenintz #AmericanEmbassyTanzania

Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA AWASAMEHE WAFUNGWA 1,036. Msamaha huu wa Disemba 9 unaendelea kuwa utamaduni wa kila mwaka. Wafungwa 22 waachiwa huru, 1,014 wapunguziwa adhabu. Serikali yatoa wito wajikite kwenye maisha mapya na kuchangia maendeleo.

RAIS SAMIA AWASAMEHE WAFUNGWA  1,036.
 Msamaha huu wa Disemba 9 unaendelea kuwa utamaduni wa kila mwaka. Wafungwa 22 waachiwa huru, 1,014 wapunguziwa adhabu. Serikali yatoa wito wajikite kwenye maisha mapya na kuchangia maendeleo.
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.

UN RECOGNIZES TANZANIA AS A MODEL OF PEACE. UN Secretary General António Guterres says Tanzania remains a global symbol of peace and social unity, even after the October 29, 2025 General Election. #Peace #Unity #Tanzania

UN RECOGNIZES TANZANIA AS A MODEL OF PEACE.
UN Secretary General António Guterres says Tanzania remains a global symbol of peace and social unity, even after the October 29, 2025 General Election.
#Peace #Unity #Tanzania
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025. #CDF #JWTZ #SKUA #Tanga #UsalamaWaTaifa #SamiaSuluhu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika SKUA, Tanga, tarehe 15 Desemba 2025.
#CDF #JWTZ #SKUA #Tanga #UsalamaWaTaifa #SamiaSuluhu
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya. #Tanzania #Kenya #Uwekezaji

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, kujadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.
#Tanzania #Kenya #Uwekezaji
Joseph Bagonza (@jesebagonza) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.