
JAXiS
@jaxis__
ID: 1092626584329220098
05-02-2019 03:30:52
60,60K Tweet
4,4K Followers
5,5K Following






JAXiS …¡Samuelsn Maasai NGL. •Hutumia wastani wa 1600W (kwa sababu haitumii full power muda wote). •1600W × 0.67 saa = 1.07 kWh •Gharama: 1.07 × 350 Tsh (bei ya wastani ya Tanesco/kWh) ≈ 375 Tsh Bado ni cheap sababu haupiki siku nzima na ni zuri ukilitumia kama mbadala pia uzuri lina timer








