Javah (@javahlogic) 's Twitter Profile
Javah

@javahlogic

Juggernaut 📌

ID: 1496806804805853186

calendar_today24-02-2022 11:19:02

214 Tweet

50 Takipçi

35 Takip Edilen

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Chanzo kikubwa cha stress and depression: 1. Kuishi kwa kuwaza yaliyopita. Kadri unavyosumbuka na jana ndivyo unavyokuwa mbali zaidi ni furaha. 2. Kuishi kwa kuwaza yajayo. Kila mara upowaza yajayo unapoteza focus na kuingia kwenye msongo. Funzo: Jifunze kuishi wakati uliopo.

Neypaul🤎 (@neypaul01) 's Twitter Profile Photo

Kipindi nipo A-Level life la masomo lilikua gumu sielewi mambo mengi nikaweka nadhiri na Mungu. Nikamwambia nitakua nakusafishia kanisa kila siku kabla ya ibada na wewe Mungu unipe ufahamu nikiwa nasoma nisiyasahau na nifaulu vizuri. So kila jioni nilikua nawah kufata msosi

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Unaenda ofisi ya Serikali unakutana na kijana mwenzio anakujibu vibaya mpaka unaogopa 🥲🙌. Alafu watu wazima wanakusikiliza vizuri tu mpaka unatamani usiondoke.

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kuna Stage Huhitaji Ofisi Kabisa ili Kuwa na Biashara—Unahitaji Vitu Hivi: 1). Laptop 2). Smartphone 3). Internet Connection 4). Skill Biashara ni CASHFLOW sio Majengo & Furnitures!

Javah (@javahlogic) 's Twitter Profile Photo

That makes sense! Big ideas always take time to unfold, and it’s the bold vision that counts. Even if timelines shift, the important thing is that these innovations are moving us forward. The early wins might get overlooked, but they lay the groundwork for the future.

Javah (@javahlogic) 's Twitter Profile Photo

Wow, Tier 105! That’s some serious dedication. Whether it’s conquering tech challenges or gaming levels, you’re always setting the bar high. What’s next—autonomous AI teammates? 🔥💪🎮 #GameOn #MasterOfAllTiers"

Javah (@javahlogic) 's Twitter Profile Photo

Ili mtu a supply upendo kwako, inabidi ajipende na ajijali yeye kwanza. Yaani huwezi kumpenda mtu au kumjali kama wewe mwenyewe umejishindwa! #mtazamowangu