Jasamila (@jasamilam) 's Twitter Profile
Jasamila

@jasamilam

ID: 1445094011123949577

calendar_today04-10-2021 18:30:52

35 Tweet

8 Followers

41 Following

Jasamila (@jasamilam) 's Twitter Profile Photo

Wahandisi wawili [A na B]. Elimu moja. Mteja mmoja [Serikali]. Majengo (matokeo) tofauti. Picha Na 1 [Mhandisi A] Picha Na 2 [Mhandisi B].

Wahandisi wawili [A na B]. 
Elimu moja.
Mteja mmoja [Serikali].
Majengo (matokeo) tofauti. 
Picha Na 1 [Mhandisi A]
Picha Na 2 [Mhandisi B].
Jasamila (@jasamilam) 's Twitter Profile Photo

Tunapokuwa shuleni tunakuwa na walimu wengi wanaotufundisha kwa kila mwalimu na somo lake,lakini kila mwanafunzi ana historia na mwalimu wake na hii ni kwa kila hatua ya elimu,Je mimi nawewe tunamkumbuka mwalimu wa historia yetu..?πŸ€”πŸ€”πŸ’Œ

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Masikini weeeeeeee Jimbo la Kibamba,Wilaya ya Ubungo na Ndani ya Dar es salaam mmerudishwa nyuma Miaka 20 na CCM. Angalau Wakati wa Mnyika hapakuwa na Mtu anakunywa Maji ya tope. Walisema Wapinzani wanachelewesha Maendeleo,Sasa wapo CCM tupu na Maendeleo hakuna..!

Masikini weeeeeeee Jimbo la Kibamba,Wilaya ya Ubungo na Ndani ya Dar es salaam mmerudishwa nyuma Miaka 20 na CCM.

Angalau Wakati wa Mnyika hapakuwa na Mtu anakunywa Maji ya tope.

Walisema Wapinzani wanachelewesha Maendeleo,Sasa wapo CCM tupu na Maendeleo hakuna..!
Jasamila (@jasamilam) 's Twitter Profile Photo

Taifa letu la Tanzania limebahatika kuwa na viongozi wa kupigiwa mfano,MSD imebahatika kupata kiongozi wakupigiwa mfano kwa mtazamo wa leo na kesho,taifa litaendelea kwa viongozi wazalendo wenye kuipenda nchi,katika kuamini misingi ya ujamaa na kujitengemea.

Eng.Kundo Andrea Mathew,akila kiapo leo 24/10/2021 Ikulu Dar es salaam Kuwa Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.Baada ya Mh Rais kuihamisha Sekta ya Habari (Magazeti,TV,Blog,Online TV)Kwenda wizara aliyokuwa akihudumu #Kazi Iendelee

Eng.Kundo Andrea Mathew,akila kiapo leo 24/10/2021 Ikulu Dar es salaam Kuwa Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.Baada ya Mh Rais kuihamisha Sekta ya Habari (Magazeti,TV,Blog,Online TV)Kwenda wizara aliyokuwa akihudumu
#Kazi Iendelee
Eng. Kundo Andrea Mathew (Mb) (@engkundo) 's Twitter Profile Photo

Politics and Politicians, u really need to choose words and time wisely ..its better to remain silent at the risk of being thought a fool,than to talk and remove all doubts of it.

Jasamila (@jasamilam) 's Twitter Profile Photo

Tunaposherehekea sikukuu ya krismas nakukaribisha mwaka Mpya,ni sehemu pia ya kutafakari mafanikio,changamoto na vikwanzo vya mwaka mzima,Namshukru Mungu kwa zawadi ya uhai,ndugu,jamaa na marafiki.!Namuomba Mungu aturahishie na kuufanya kuwa mwaka wa neema na mafanikio.