Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile
Jamii Forums

@jamiiforums

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

ID: 49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

69,69K Tweet

1,8M Followers

199 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa amefikwa na umauti akiwa Dodoma. Taarifa

DODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa amefikwa na umauti akiwa Dodoma.

Taarifa