Reebace (@james_100r) 's Twitter Profile
Reebace

@james_100r

Samsung Used phone point

ID: 1781155035990081537

calendar_today19-04-2024 02:57:41

15 Tweet

7 Followers

46 Following

Reebace (@james_100r) 's Twitter Profile Photo

🎯 Entrepreneurship si kutafuta pesa kwanza. Ni kutafuta shida ya watu ambayo unajua na kuwezakuitatua vizuri. Pesa huja kama zawadi ya uaminifu wako kwenye kutatua hiyo shida. 👉 Solve. Don’t chase. #Entrepreneurship #HustleWisely

🎯 Entrepreneurship si kutafuta pesa kwanza.
Ni kutafuta shida ya watu ambayo unajua na kuwezakuitatua vizuri.
Pesa huja kama zawadi ya uaminifu wako kwenye kutatua hiyo shida.

👉 Solve. Don’t chase.

#Entrepreneurship #HustleWisely
Reebace (@james_100r) 's Twitter Profile Photo

🚫 Kitu kinachowazuia wengi si ukosefu wa pesa. Ni kuamini lazima kila kitu kiwe tayari kabla ya kuanza. Wakati mwingine, una kila sababu ya kuanza — ila umejifunga kwa hofu ya aibu au kukosea. 👉 Start ugly. Learn fast. Grow loud.

🚫 Kitu kinachowazuia wengi si ukosefu wa pesa.
Ni kuamini lazima kila kitu kiwe tayari kabla ya kuanza.
Wakati mwingine, una kila sababu ya kuanza — ila umejifunga kwa hofu ya aibu au kukosea.

👉 Start ugly. Learn fast. Grow loud.
Reebace (@james_100r) 's Twitter Profile Photo

🤔Kama leo ungefungua biashara mpya Tanzania, ni social media ipi usingetumia kabisa kwa sababu inachoma muda bila kuleta wateja?

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Siku ya tatu leo naona Tweet za mafumbo kuhusu “CHINA PLAZA”. Kama unajua kinachoendelea andika hapo kwenye Comment kusaidia na wengine ambao hawajui kitu kama mimi.

FRANCIS ❖91688❖ (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

• mtu unawaza mwaka mzima, • mara uombe ushauri kwa watu, • mara uanze kusema hiki sina, • mara uanze kusubiri muda sahihi, yaani nilichokuja kugundua kati ya tatizo la watu wengi, ( Ikiwemo na Mimi ) ni-ku-funga-NAFASI-iliyopo-kati-ya Wazo-na-Kufanya-hilo-wazo.

Reebace (@james_100r) 's Twitter Profile Photo

Jack Ma aliomba Harvard mara 10 akakataliwa. Lakini ni founder Alibaba. Kumbe vyuo vikubwa na GPA kubwa sio guarantee ya mafanikio.