Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile
Jalilu Zaid

@jaliluzaid

Ibada, Uadilifu, Usiri na Uchapakazi. 📸

ID: 1329696138

calendar_today05-04-2013 17:33:46

270,270K Tweet

144,144K Takipçi

907 Takip Edilen

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kadri unavyokutana na watu wengi maishani mwako halafu ukajiangalia vitu ambavyo huwa unajizuia kuvifanya kwa sababu ya malezi uliyopitia au misingi ya Dini yako ndio unagundua wazazi wako waliifanya kazi njema sana katika suala la malezi.