Veryboy Jr (@veryboyjr) 's Twitter Profile
Veryboy Jr

@veryboyjr

Football and Music fan 🎵⚽❤️

ID: 1605931102442594304

calendar_today22-12-2022 14:20:28

4,4K Tweet

679 Takipçi

740 Takip Edilen

Veryboy Jr (@veryboyjr) 's Twitter Profile Photo

Prime Mbosso, Harmonize, Rayvanny, Marioo na Jay melody washawahi mkaribia Prime Diamond platnumz wa Mbagala, nitarejea, kamwambie, ukimuona, nataka kulewa, kesho, mawazo n.k

Prime Mbosso, Harmonize, Rayvanny, Marioo na Jay melody washawahi mkaribia Prime Diamond platnumz wa Mbagala, nitarejea, kamwambie, ukimuona, nataka kulewa, kesho, mawazo n.k
NAOMI FUJO (@naomi_fujo) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Form Zao Unaondoka Na Set Ipi👇 A, ALIKIBA, DIAMOND, HARMONIZE VS B, MARLAW, HUSSEIN MACHOZI, MATONYA. NB: Binafsi Naondoka Na B, Jamaa Walikua Wanyama Mnoo.✌️

Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

Iddy Suleiman Nado, tukiamua kuwa honest. Ashachukua legacy ya Simon Msuva kwenye club level nchini Tena hiii sio debate. Hii nchi ingekua inatambua michango ya wadau huyu ilibidi ajengewe sanamu lake Kama Winga bora kuwahi kutokea kwenye Ligi ya Bongo IDDY NADO 👑

Eng Jubel (@engjubel) 's Twitter Profile Photo

Tabu moja ya mabig ni kutuaminisha kila msanii wa zamani ni mkali. Heshima yao itabaki pale pale lakini hauwezi ukasema kuna msanii amemzidi legacy Diamond.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Serikali ya Mexico imemuua mtu aliyekuwa na zawadi ya dola milioni 15 kichwani mwake, na genge lake likachoma majimbo 5 ndani ya muda mfupi tu! CV YA El Mencho; •Jina halisi: Nemesio Oseguera Cervantes •Alizaliwa 17 Julai 1966, Aguililla, Michoacán, Mexico

#TajiriLaKihaya 

Serikali ya Mexico imemuua mtu aliyekuwa na zawadi ya dola milioni 15 kichwani mwake, na genge lake likachoma majimbo 5 ndani ya muda mfupi tu!

CV YA El Mencho;

•Jina halisi: Nemesio Oseguera Cervantes
•Alizaliwa 17 Julai 1966, Aguililla, Michoacán, Mexico
PABLO (@pabloyende) 's Twitter Profile Photo

Hits to Hits Hakuna mwana Hip hop yoyote anakaa meza moja na Darassa kwa Bongo Yaani kila mmoja atoe miwa yake Tu Ila ukija kwenye misingi na nguzo za hip hop Darassa haingii hata top ten ya wakali wenu

Luka modric)🇹🇿 (@lparino2002) 's Twitter Profile Photo

Sir Alex Ferguson: kivipi ukamruhusu Ronaldo afunge vilee? Kwa ukali Patrick Evra: Nilikosa cha kufanya maana Ronaldo alikuwa angani! Baada ya mzee sir Alex Ferguson kuangalia marudio ya lile goli akaona alimkosoa beki wake Evra kwa namna isiyofaa akamuomba msamaha tu,😂😂😂

Sir Alex Ferguson: kivipi ukamruhusu Ronaldo afunge vilee? Kwa ukali 

Patrick Evra: Nilikosa cha kufanya maana Ronaldo alikuwa angani!

Baada ya mzee sir Alex Ferguson  kuangalia marudio ya lile goli akaona alimkosoa beki wake Evra kwa namna isiyofaa akamuomba msamaha tu,😂😂😂