Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Ibara ya 13(6)(a):
“Kila mtu anayo haki ya kusikilizwa kwa ukamilifu na kwa haki mbele ya chombo kinachotatua migogoro ya haki zake.”
MSLAC inaunga mkono ibara hii kwa kutoa msaada wa kisheria, kuhakikisha mtu hata kama hana uwezo
Kupitia Kampeni ya msaada wa kisheria, Haki na usawa umeimarika katika jamii hasa za vijijini kwenye migogoro mingi inayohusu ardhi ambayo husababishwa na wakulima na wafugaji. Kuimarika kwa upatikanaji haki kunaendeleza upendo miongoni mwa wananchi. #Sisinitanzania #Kaziiendelee
Tanzania imevuka lengo kwenye rikodi ya watalii kati ya kipindi cha mwaka 2021-2024. #Sisinitanzania #Matokeochanya #kazinaututunasongambele #Sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #SSH #Kaziiendelee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo

#VIDEO Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amejiunga na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima katika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe Jijini Dar es salaam leo July 20,2025 mahali ambapo Waumini hao wanafanya ibada baada ya kujumuika na Waumini wa Kanisa la ABC ambalo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Suluhu Hassan imedhamiria kupunguza migogoro kwa wananchi inayosababishwa na kutojua sheria mbali mbali, Kuimarisha upatikanaji wa haki na Usawa kama inavyoagiza Katiba ya JMT kupitia Ibara ya 12, 13(6)(a). #Sisinitanzania #MSLAC #SSH
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuwa uzinduzi wa bandari kavu ya kwala unaotarajiwa kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan utakuwa alama muhimu ya utekelezaji wa dira ya maendeleo ya Taifa hususan katika kukuza uchumi kupitia
#VifaaDawati
Mkuu wa Ushirikishwaji wa Jamii Naibu Kamishna wa Polisi Henry Mwaibambe akipokea Vifaa kutoka kwa Bi.Nora Loehr ambaye ni 'Implementation Manager SAFE Project' wa Shirika la GIZ Tanzania
Vifaa hivyo ni Kompyuta 12, Printa za rangi 12 na Projector 1