Frank stafa (@stafawise) 's Twitter Profile
Frank stafa

@stafawise

@We have to Decolonize ourselves to have a real freedom #Excellence is built to Last.

ID: 1404911622225858563

calendar_today15-06-2021 21:20:52

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Frank stafa (@stafawise) 's Twitter Profile Photo

While Everyone in the world is busy Eyeing Africa’s resources,Africa itself is just focused getting to heaven..Long way to Go!!

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

“Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba

“Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba
Frank stafa (@stafawise) 's Twitter Profile Photo

Kipindi kigumu kikikufikia katika Maisha ndo utajua kuna Tofauti kubwa kati ya ''unajuana na watu'' na ''una watu'' #justkaneno🖐

Frank stafa (@stafawise) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Leo tukikosa basi tujue kesho inasubiri tusafishe makosa ya Jana Tumekimbiwa na kuchekwa kisa UMASKINI lakini Tusitoe lawama kwao Kwa sababu hakuna Anayependa SHIDA. Leo tena Bila kuchoka📌🙏 #HappyNewMonth

Wanangu Leo tukikosa basi tujue kesho inasubiri tusafishe makosa ya Jana

 Tumekimbiwa na kuchekwa  kisa UMASKINI lakini Tusitoe lawama kwao Kwa sababu hakuna Anayependa SHIDA. 
Leo tena Bila kuchoka📌🙏
#HappyNewMonth
Frank stafa (@stafawise) 's Twitter Profile Photo

“Revolution does not come from violence,it comes from change of Mind and Attitude” Poleni sana Jamhuri ya kenya R. I. P MZEE RAILA ODINGA🙏

“Revolution does not come from violence,it comes from change of Mind and Attitude” Poleni sana Jamhuri ya kenya
  R. I. P MZEE RAILA ODINGA🙏