Watu wengi wamepoteza DIRA ya maisha,
Mbaya zaidi hawajui shida inaanzia wapi 🧠
Leo nashare siri 7 zilizonisaidia kubadili maisha yangu...
Baada ya kusoma barua hii utakuwa umejuwa wapi tatizo linaanzia na nini kifanyike!
Bookmark na Repost!
1. Umuhimu wa kuwa na clarity.
KUMBUKA...
1. Mwanaume haongozwi na hisia
2. Mwanaume hahitaji kuonewa huruma
3. Huhitaji kujisikia kufanya jambo
4. Pesa ni thamani, tengeneza thamani
5. Kusudi na malengo ndio nguzo
6. Comfort zone imeua ndoto nyingi
7. Jenga nidhamu, usiishe kwa motivation
8. Akili ni
Watu wengi sio MASIKINI kwa sababu hawapati pesa
Ni MASIKINI kwa sababu hawajui kuelekeza PESA zao wapi ziende
Na hii ni moja sababu kubwa inayofanya masikini aendelee kuwa masikini zaidi.
Soma zaidi 🧵
Jamaa kauliza swali la msingi: "Biashara gani unaweza kuanzisha Dar kwa mtaji wa 6M na ikuletee faida ya 400K kwa mwezi?" Na haya hapa ndiyo majibu ya watu—kuna mengi ya kujifunza! 🔥
Check the thread 👇🏾🔥
Ukweli ni kwamba kila mtu yuko busy na maisha yake yuko busy na shida zake, Ukiona mtu anafanya juhudi ili utabasamu. Ukishindwa kumshukuru Basi Umsimuoneshe Dharau.
Crystal Palace wamebaba kombe lao la kwanza katika historia ya miaka 119 ya timu yao. Palace wamewafunga Man City kwenye fainali ya FA na wamejikatia tiketi ya kucheza Europa msimu ujao. Hili ni fundisho tosha kuwa haijalishi umechelewa kiasi gani, mambo mazuri bado yanaweza kuja
Mwezi Huu August,
1. Kunywa Maji Mengi, 1-2 Litres kila siku!
2. Fanya Mazoezi ya Kutosha!
3. Kula Vizuri, Vaa Vizuri, Nukia.
4. Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha ya Watu!
RUDIA.
Mungu Abariki Kazi za Mikono Yetu na Huu Mwezi.
Good Morning 𝕏