Mtanganyika📌 (@simongeraldh) 's Twitter Profile
Mtanganyika📌

@simongeraldh

The making scheme

ID: 1638311419757076486

calendar_today21-03-2023 22:48:09

351 Tweet

133 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala ameonesha kutoridhishwa na uendeshaji wa Jeshi la Magereza na Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisema kuwa kitendo cha kuruhusu askari waliovaa mavazi ya kufunika uso (maarufu kama "kininja") kuingia na kuendesha shughuli ndani

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mtoto amechora picha inayodaiwa kufanana na wewe akaichoma moto. Ukaona ni tishio, ukaagiza atekekwe, ateswe, auwawe. Una akili timamu? Hatutasahau!

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Nadhani leo mmeelewa kwa nini niliwashukuru Kanisa Katoliki last week Roma locuta, causa finita Roma yanena, mjadala umekwisha! 😁👏🏽 Ndo kila siku nimekuwa nikisema tuungane kutetea haki ya wenzetu kuabudu - na kwetu wakristo kukaa kimya ni dhambi haswa tena waliohusika kwenye

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Follow 👉🏽👉🏽Rugemeleza Nshala 👈🏽👈🏽 Wapumbavu machawa eti walitaka kuanzisha kampeni watu wamtenge Senior Counsel Nshala 🙄 Sasa tunashukuru bango tumerekebisha inatusaidia 😁 - FOLLOW KWA WINGI Rugemeleza Nshala 🔥 Naona wakili msomi kawapiga wanatoa milio tu 🤣 #TutaelewanaTu

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Takwimu za wapiga kura haziwezi kuwa mali ya watawala. Tume haiwezi kudai uhuru huku ikihubiri maneno ya chama tawala. Wapiga kura kuongezeka milioni 7 ndani ya miaka mitano bila maelezo ya kina ni utapeli wa wazi.Kuwaita wanasiasa “wapotoshaji” kwa kuuliza hoja ni dhihaka kwa

Takwimu za wapiga kura haziwezi kuwa mali ya watawala. Tume haiwezi kudai uhuru huku ikihubiri maneno ya chama tawala. Wapiga kura kuongezeka milioni 7 ndani ya miaka mitano bila maelezo ya kina ni utapeli wa wazi.Kuwaita wanasiasa “wapotoshaji” kwa kuuliza hoja ni dhihaka kwa
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

“Mhe. Tundu Lissu amepigwa risasi 38 amezunguka amepona, leo hii amepewa kesi ya uhaini sababu nikuzungumzia mabadiliko ni haki yake na mabadiliko hayaepukiki” Mhe. Eng. James Mbatia, NCCR MAGEUZI.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mahakama za Tanzania!!!! Kesi kubwa hii, zama za teknolojia hizi, mnataka kuendesha kesi yenye hukumu ya kunyonga kwa kuficha mashahidi!!!!! How? Kama mtu atakua kizimbani kutoa ushahidi akiwa na computer, simu au amendikiwa au hata AI inaongea nani atamuona!!! Jambo mmoja kwa

Mahakama za Tanzania!!!!

Kesi kubwa hii, zama za teknolojia hizi, mnataka kuendesha kesi yenye hukumu ya kunyonga kwa kuficha mashahidi!!!!! How?

Kama mtu atakua kizimbani kutoa ushahidi akiwa na computer, simu au amendikiwa au hata AI inaongea nani atamuona!!!

Jambo mmoja kwa
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kuficha mashahidi maana yake umma & media hawatakuwa Mahakamani. Mtuhumiwa hamuoni shahidi wala utambulisho wake - ikiwemo jina, kazi, makazi, na sauti. Shahidi hatadodoswa, sawa na kufungwa bila kusikilizwa. Hii ndio namna pekee ya Samia kumfunga Lissu kwa uhaini, gizani!

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mzee anapambana sana aache nchi nzuri wajukuu zake waje kuirithi. Kila lakheri kwenye mapigano yako mkubwa. Sisi tunaungana na ww kwasababu unadai HAKI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Kulindwa si kila mtu analindwa na ndo jukumu la polisi, ili mtu kulindwa haitaji amri ya mahakama. Semeni mahakamani imaamuru wafichwe wasionekana na sauti zao zisisikike, lakini waaminike na ushahidi wao wa siri! Mtu anyongwe kwa ushahidi wa vichakani?

Kulindwa si kila mtu analindwa na ndo jukumu la polisi, ili mtu kulindwa haitaji amri ya mahakama.

Semeni mahakamani imaamuru wafichwe wasionekana na sauti zao zisisikike, lakini waaminike na ushahidi wao wa siri! 

Mtu anyongwe kwa ushahidi wa vichakani?
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Kwa vyovyote vile, kesi ya UHAINI inayomkabili Tundu Antiphas Lissu itaisha. Iwe kwa kuhukumiwa kunyongwa au kutokukutwa na hatia kwa sababu ya pressure ya nje..itaisha. Hizi Sheria walizotunga kuficha mashahidi zitabaki. Kwa hila, watanyongwa watoto wetu, wajomba zetu, dada na kaka

Kwa vyovyote vile, kesi ya UHAINI inayomkabili <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> itaisha.
Iwe kwa kuhukumiwa kunyongwa au kutokukutwa na hatia kwa sababu ya pressure ya nje..itaisha.
Hizi Sheria walizotunga kuficha mashahidi zitabaki.
Kwa hila, watanyongwa watoto wetu, wajomba zetu, dada na kaka