TzPoliceFc (@polisitz) 's Twitter Profile
TzPoliceFc

@polisitz

Usalama wa Raia na Burudani Ya Soka

ID: 1442824210267656198

calendar_today28-09-2021 12:11:28

138 Tweet

9,9K Takipçi

111 Takip Edilen

TzPoliceFc (@polisitz) 's Twitter Profile Photo

Hawa mwaka huu ni vibonde wetu na bado tutawatoa kwenye FA CUP... Hivi lile bus lao linawasaidia nini hawa🤣🤣😂 #PiraPGO

Hawa mwaka huu ni vibonde wetu na bado tutawatoa kwenye FA CUP... Hivi lile bus lao linawasaidia nini hawa🤣🤣😂 #PiraPGO
TzPoliceFc (@polisitz) 's Twitter Profile Photo

TWENDENI... TWENDENI... TWENDENI... Tukaujaze uwanja wa Benjamin Mkapa🏟 Hatuna nchi NYINGINE mbali na Tanzania. Hatuna wawakilishi WENGINE tofauti na Simba Sports Club kwenye michuano ya kimataifa. Leo ni zamu ya TANZANIA tukasimame na SIMBA #NguvuMoja #PiraPGO All da best 🦁

TWENDENI... TWENDENI... TWENDENI... Tukaujaze uwanja wa Benjamin Mkapa🏟 Hatuna nchi NYINGINE mbali na Tanzania. Hatuna wawakilishi WENGINE tofauti na <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a> kwenye michuano ya kimataifa. Leo ni zamu ya TANZANIA tukasimame na SIMBA #NguvuMoja #PiraPGO All da best 🦁
Mkurupukaji (@mkurupukaji) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Akiendelea kufata maagizo ni nani wa kumuondoa!? Hatokufa as long as anafata maagizo, maneno yanahitaji sayansi ndogo sana haya kuyaelewa😂

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Bar ni sebuleni kwako.Ushikaji wa ulevi kwa miaka na kupigiana pasi mademu. Nyumbani haukai.Simu ina thamani kuliko akiba benki.Boda boda anajua watoto wako wanakula nini kuliko wewe.Haki haujali.Miti haupandi.Kazi kuvaa miwani meusi/kubadilisha bar. Acha Upimbi ishi kwa kusudi

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Hata siku moja hupungukiwi kwa kusaidia, unachotoa ni kile ambacho unaweza kuishi bila kuwa nacho. Utayari na wepesi wa kutoa ulichonacho ni kielelezo cha utajiri wa nafsi yako. Unaweza kumiliki mali na usiwe tajiri. Utajiri ni nafsi si mali." ~Togolani Mavura.

Mr samaki & cosmetologist. (@chrispinechris5) 's Twitter Profile Photo

Kwa utengenezaji wa mabwawa bora ya kisasa ya kufugia samaki kibiashara ,mafunzo bora ya ufugaji,uzalishaji na matibabu ya magonjwa ya samaki wasiliana nasi CA aquafirm tutakusaidia 🙏🤲🤛

Kwa utengenezaji wa mabwawa bora ya kisasa ya kufugia samaki kibiashara ,mafunzo bora ya ufugaji,uzalishaji na matibabu ya magonjwa ya samaki wasiliana nasi CA aquafirm tutakusaidia 🙏🤲🤛
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tazama unavyoapa na kuhaidi upendo na uadilifu huku umeshika kitabu kitakatifu ktk imani yako.Kauli zako ni mbaya,kila mara ni kama unatoa amri za kikatili.Wewe ni Spika wa Bunge,chombo cha wananchi na sio chombo cha Serikali.Najua hauna uhalali wa kuwa hata hapo Bungeni.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Rejections and disappointments ni moja ya vitu vinavuruga not just your energy, spirit, faith and mental health na kuna kipindi zinafululiza haswa, you even start to qn yourself kama unaweza kustahimili. Believe me situation kama hii ni alert kwamba mazuri yaja.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

1. Kamwe usifanye mwanamke aachane na mtu aliye nae kwajiri yako. 2. Mwanamke ambaye amewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume kwasababu ya pesa, si salama kuwa nae 3. Mwanamke mwenye mtoto/watoto sio salama kuwa nae, kwa kijana ambaye hauna mtoto na haujawahi kuwa kwenye ndoa.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“ HOSPICE “ Hospice care focuses on the care, comfort, and quality of life of a person with a serious illness who is approaching the end of life. “ Hii Dunia ukiitafakari sana,hakuna kitu cha maana zaidi ya kuutafuta wema na utakatifu.Sasa na muelewa sana Mfalme Suleiman

“ HOSPICE “ 
Hospice care focuses on the care, comfort, and quality of life of a person with a serious illness who is approaching the end of life. 

“ Hii Dunia ukiitafakari sana,hakuna kitu cha maana zaidi ya kuutafuta wema na utakatifu.Sasa na muelewa sana Mfalme Suleiman
DON iLAG (@don_ilag) 's Twitter Profile Photo

“She saw Marriage as a business, she got married to me for few years, divorced and took 50% of my lifetime savings . All her money and properties was not in her name“ Tyrese Gibson “50 cent warned me, he told me that if you are someone that loves so deep, then this generation

“She saw Marriage as a business, she got married to me for few years, divorced and took 50% of my lifetime savings . All her money and properties was not in her name“ Tyrese Gibson 

“50 cent warned me, he told me that if you are someone that loves so deep, then this generation