P A P I (@papichulo_chuly) 's Twitter Profile
P A P I

@papichulo_chuly

Life is too short. Don't waste it reading my BIO!!!

ID: 374738248

calendar_today16-09-2011 21:08:03

201,201K Tweet

67,67K TakipΓ§i

813 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Siku kubwa, ya kihistoria na ya baraka za Mwenyezi Mungu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na nchi yetu, ambapo nimeungana na Mgombea Mwenza, Ndugu Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuzindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hatua hii ni mwanzo wa safari yetu ya kwenda kwa

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MOROGORO TUNATIKI βœ… Serikali ya CCM imekamilisha ujenzi wa Daraja la Kiyegeya (mita 25 ) Kilosa, Daraja la Berega (mita 140) Kilosa na Daraja la Mto Ruaha Mkuu (mita 133)Kidatu–Ifakara #kazinaututunasongambele #Oktobatunatiki βœ…

MOROGORO TUNATIKI βœ…

Serikali ya CCM imekamilisha ujenzi wa Daraja la Kiyegeya (mita 25 ) Kilosa, Daraja la Berega (mita 140) Kilosa na Daraja la Mto Ruaha Mkuu (mita 133)Kidatu–Ifakara

#kazinaututunasongambele 
#Oktobatunatiki βœ…
cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Wana -ngerengere hizi ni ahadi za Dkt. Samia kwenu atazitekeleza na kuhakikisha ameboresha maisha kwa wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro.

Wana -ngerengere hizi ni ahadi za Dkt. Samia kwenu atazitekeleza na kuhakikisha ameboresha maisha kwa wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro.
ROM (@romsoi) 's Twitter Profile Photo

Katika Darasa La Ngerengere, Mkoani Morogoro Mwalimu Katika Kuifafanua KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE. Ameahidi Pia Kujenga, Kuboresha, Kuhimiza, Kununua Pamoja Na Kuongeza.

Katika Darasa La Ngerengere, Mkoani Morogoro Mwalimu Katika Kuifafanua KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE. Ameahidi Pia Kujenga, Kuboresha, Kuhimiza, Kununua Pamoja Na Kuongeza.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu amewasil katika Stesheni ya SGR ya Ngerengere Mkoani Morogoro. Dkt. Samia siku ya leo atanadi Sera zake kwa Wananchi wa Ngerengere. #MillardAyoUPDATES

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu amewasil katika Stesheni ya SGR ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Dkt. Samia siku ya leo atanadi Sera zake kwa Wananchi wa Ngerengere.
#MillardAyoUPDATES
P A P I (@papichulo_chuly) 's Twitter Profile Photo

Green & Yellow shine brighter in Morogoro today!! CCM campaigns under President Samia are unstoppable! πŸ’šπŸ’› SSH2530

Green & Yellow shine brighter in Morogoro today!!

 CCM campaigns under President Samia are unstoppable! πŸ’šπŸ’›

SSH2530
P A P I (@papichulo_chuly) 's Twitter Profile Photo

37,655,559 Wamejiandikisha kupiga kura πŸ—³οΈ Facebook users πŸ‡ΉπŸ‡Ώ – 8.3M Instagram – 3.7M Twitter/X – 0.66M Wapiga kura wako kwa Field, sio kwenye mitandao

P A P I (@papichulo_chuly) 's Twitter Profile Photo

Ya Rabbi, Tulinde na macho mabaya, HASAD, Maadui ambao Hatuwajui na Roho za kwanini. Tufunike kwa rehema zako na baraka zisizo na kikomo, tusalimike na majicho yenye wivu na roho zenye chuki na Utuweke kwenye Ulinzi wako Milele.. TUSEME AMEEN 🀲🏼🀲🏼

Ya Rabbi, Tulinde na macho mabaya, 
HASAD, Maadui ambao Hatuwajui na Roho za kwanini. 

Tufunike kwa rehema zako na baraka zisizo na kikomo, tusalimike na majicho yenye wivu na roho zenye chuki na Utuweke kwenye Ulinzi wako Milele.. TUSEME AMEEN 🀲🏼🀲🏼