Fanya Kweli, Usibaki Nyuma
@mtuniafya
Kampeni ya Kitaifa, Mtu ni Afya Awamu ya II
ID: 3431308859
http://mtuniafya.co.tz 19-08-2015 10:14:03
5,5K Tweet
7,7K Takipçi
41 Takip Edilen
Mazoezi si lazima gym au kukimbia 🏃♂️. Hata kutembea, kupanda ngazi au shughuli yoyote inayokutoa jasho dakika 30 kwa siku ni mazoezi 💪,👉 Fanya kweli, usibaki nyuma! Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto @simiyu571 #Mtuniafya #fanyamazoezi #fanyakweliusibakinyuma #mazoezi
Choo bora si kwa wageni pekee, ni kwa familia yako kwanza! Jenga choo bora, Jenga heshima na afya ya familia yako kwa kuwa na choo bora na kukitumia. Fanya kweli, usibaki nyuma! #MtuNiAfya #ChooBoraKwaFamilia #AfyaNaHeshima #fanyakweliusibakinyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 AnyitikePM
Katika familia nyingi, Baba huachwa nje ya mazungumzo ya hedhi. Ukweli ni kwamba, hedhi si aibu. Wazazi wote wawili wanapaswa kushirikiana kumsaidia binti yao. #HedhiSioSiri #NormalizePeriods #Binti #BreakingTheSilence Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM
Katika familia nyingi, mazungumzo kuhusu hedhi yamekuwa yakihusishwa zaidi na mama pekee. Lakini ukweli ni kwamba baba pia ana nafasi muhimu ya kushiriki kwa uwazi katika mjadala huu. Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM #Mtuniafya #FanyaKweliUsibakiNyuma
Je, unajua kuwa tabia ndogo ya usafi wa kila siku inaweza kubadilisha maisha ya familia yako? Mama ndiye mwenye nguvu ya kushawishi tabia hizi!. #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto
Kujua umuhimu wa kujenga choo bora siyo haitoshi; kipaumbele ni muhimu! #FanyaKweliUsibakiNyuma #Chooboraa #ChimbaChoo #NyumbaYenyeChoo #TanzaniaSalama🇹🇿 AnyitikePM Mrisho Mpoto Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Wanawake wengi bado hawawashirikishi waume zao kuhusu hedhi za mabinti zao, jambo linalowazuia wanaume kusaidia kikamilifu. Mazungumzo ya uwazi huleta heshima, msaada na uelewa ndani ya familia. #FanyaKweliUsibakiNyuma #HedhiSioSiri #UshirikianoWaFamilia Mrisho Mpoto
Ukarimu huanza na mikono safi 🧼✨. Usipuuze unawaji kwa kisingizio cha haraka za maisha. Fanya kweli, usibaki nyuma! #fanyakweliusibakinyuma #mtuniafya #tanzaniasalama #mikono #mikonosafi Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM
Ni haki ya mtoto kupata Nyama ya kutosha. Wazazi wengi hupendelea kumpa baba sehemu kubwa ya nyama, huku mtoto akipewa kidogo. #nyama #watoto #haki #mtuniafya #protini #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo AnyitikePM Mrisho Mpoto
Hakuna anayekwepa taka — sote tunazalisha. Swali ni: wewe unachukua hatua gani? Uwajibikaji ni vitendo. Fanya kweli, usibaki nyuma. 🌍✨ #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #worldenvironmentday Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM
Kila mmoja ana nafasi yake… wengine hutazama tu, wachache huchukua hatua. Taka zako huenda zinakuficha, ukijisikia aibu, ukifikiria ‘ninaanzaje?’… lakini je, kukaa kando kunaleta mabadiliko yoyote? Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA RAIS TAMISEMI AnyitikePM
Tumezoea kuamini tunachoona ndicho sahihi… lakini je, macho pekee yanaweza kutuonyesha kila kitu? 🤔 Hatua ndogo za kila siku huhakikisha maji salama. Fanya kweli, usibaki nyuma. Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto #FanyaKweliUsibakiNyuma #AfyaYakoNguzoYako #TreatWater
Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu anazalisha taka majumbani na maeneo ya kazi, jambo pekee linabaki ni uwajibikaji. Fanya kweli usibaki nyuma. #sikuyausafishajiduniani2025 #mazingiraniuhai #fanyakweliusibakinyuma #goplanttanzania #clearkamo #safishamazingira Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Katika familia nyingi, baba huchukua sehemu kubwa ya nyama, mtoto hubaki na kipande kidogo na mchuzi mwingi. Leo baba anasema: “Kwa ajili ya mtoto wangu, nipo tayari kwenda buchani kumletea nyama. #FanyaKweliUsibakiNyuma #MtotoKwanza #LisheBora Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Ni kweli kuwa, Mafanikio ya kweli hujengwa na mwili imara na wenye nguvu - fanya kweli usibaki nyuma #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #mazoezi #vijana #physicalactivity #life #viralvideos #funnyvideos #shortvideoviral @projectcleartz Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Elimu ya Afya kwa Umma Mrisho Mpoto
Ni kweli kuwa, Mafanikio ya kweli hujengwa na mwili imara na wenye nguvu - fanya kweli usibaki nyuma #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #mazoezi #vijana #physicalactivity #life #viralvideos #funnyvideos #shortvideoviral @projectcleartz Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Elimu ya Afya kwa Umma Mrisho Mpoto
Hedhi siyo siri! 👩🏽🦰 Wanaume nao washirikishwe ili kuondoa ukimya kwenye familia. Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 OFISI YA RAIS TAMISEMI EFM STATION Elimu ya Afya kwa Umma #clearkamo #mtuniafya #hedhisalama #fanyakweliusibakinyuma 🇹🇿