MARSELI HINDOY (@marselihindoy) 's Twitter Profile
MARSELI HINDOY

@marselihindoy

ID: 1909286555312652288

calendar_today07-04-2025 16:48:01

331 Tweet

8 Takipçi

334 Takip Edilen

BELINDA (@_belindapinda01) 's Twitter Profile Photo

Na hapa wasichanganye mambo wao wanafikiri tunazunguzia kesi ya wizi wa kuku. Mh. Tundu lissu... #UPDATES_KESI_YA_UHAINI 😂😂😂😂😂😂

Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

#Day3 Sept 10, Mapambano Yanaendelea Katika Viwanja vya Mahakama Kuu-Dar Akiwa katikati ya Askari magereza Mh. Tundu Lissu akiingia mahakamani leo huku sura yake ikiwa na tabasamu la kutosha. #NoRetreatNoSurrender #TunduLissuSioMhaini

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Lissu Mungu kampa karama nyingi ambazo katika ulimwengu wa leo watu wa aina yake ni wachache sana. Huyu tunatakiwa kukumbuka kumuombea kila siku kwenye sala zetu maana ni hazina kwa nchi yetu. Sisi hatuna silaha za kutosha kumlinda ila tuna Mungu ambae tukiomba anasikia

Mhere mwita (@mheremwita_) 's Twitter Profile Photo

" Uwepo wa Lissu katika kesi yoyote mahakama kuu isichukuliwe kama jambo la kawaida na wakili wa upande wa utetezi Bali Ichukuliwe kama Afisa thabiti wa mahakama kuu Ambaye Akisimama katika kesi yoyote kuna jambo jipya katika sheria zetu mahakama na Nchi itafaidika" Jaji Chocha

" Uwepo wa Lissu katika kesi yoyote mahakama kuu isichukuliwe kama jambo la kawaida na wakili  wa upande wa utetezi Bali Ichukuliwe kama Afisa thabiti wa mahakama kuu Ambaye Akisimama katika kesi yoyote kuna jambo jipya katika sheria zetu mahakama na Nchi itafaidika"

Jaji Chocha
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

“Kuomba huruma unapokuwa kwenye matatizo sio jambo baya. Sasa la msingi ni nini? Siwaombi Majaji chochote mtakachoamua msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.” Tundu Antiphas Lissu John Heche

“Kuomba huruma unapokuwa kwenye matatizo sio jambo baya. 

Sasa la msingi ni nini? Siwaombi Majaji chochote mtakachoamua msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.” <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>
Mnyawami (@jacksonmnyawam2) 's Twitter Profile Photo

Yanayovuma mitandani na DW Kiswahili namna jeshi la polisi nchini Tanzania lilivyowadhibiti kwa virungu na mateke baadhi ya wafuasi wa chama cha upinzani cha CHADEMA waliofika mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam Jumatatu, Septemba 15, 2025.

Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

It’s S Sad 😭😭 Umekuwa Kaka yangu tangu ninaanza siasa zangu Chadema nikiwa Chuo Kikuu, Unamchango mkubwa sana katika historia ya siasa zangu Kaka Nyalusi, Sio Rahisi Kuamini na Kupokea Lakini Hatuna Budi Kumshukuru Mungu kwa Maisha Yako Hapa Dunia🥺 Mkoa Mzima wa Iringa

It’s S Sad 😭😭
Umekuwa Kaka yangu tangu ninaanza siasa zangu Chadema nikiwa Chuo Kikuu, Unamchango mkubwa sana katika historia ya siasa zangu Kaka Nyalusi, Sio Rahisi Kuamini na Kupokea Lakini Hatuna Budi Kumshukuru Mungu kwa Maisha Yako Hapa Dunia🥺
Mkoa Mzima wa Iringa
Mnyawami (@jacksonmnyawam2) 's Twitter Profile Photo

Leo tumempumzisha aliyekuwa Mwenyekiti wetu wa Chama Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank John Nyalusi kwenye Nyumba yake ya Milele,Pumzika kwa amani kaka

Leo tumempumzisha aliyekuwa Mwenyekiti wetu wa Chama Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank John Nyalusi kwenye Nyumba yake ya Milele,Pumzika kwa amani kaka
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu. Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji. #FreeKiduku KIDUKU

Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. 

Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu.

Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. 

Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji. 

#FreeKiduku <a href="/TanzaniaOneJezi/">KIDUKU</a>