Shadrack Makula (@makulashadrack) 's Twitter Profile
Shadrack Makula

@makulashadrack

Usiogope

ID: 1445763094097973249

calendar_today06-10-2021 14:49:47

1,1K Tweet

604 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kama Msigwa ni Mchungaji na Mtumishi wa Mungu , kwa nini asitumie karama yake kukemea dhambi , wizi na ufiasdi ndani ya chama chake ??

Kama Msigwa ni Mchungaji na Mtumishi wa Mungu , kwa nini asitumie karama yake kukemea dhambi , wizi na ufiasdi ndani ya chama chake ??
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

DIALYSIS; ZANZIBAR BURE, TANGANYIKA LAKI TATU. Huduma ya kuchuja, kusafisha damu na kuondoa uchafu mwilini (Dialysis) ni huduma ghali sana Tanganyika. Dialysis hufanywa baada ya figo kuharibika. Katika ardhi ya Tanganyika, gharama za kufanya dialysis kwa siku moja ni TZS

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Hawa ni Vijana wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Hawa ndio wamebaki angalau kuwaokoa wasomi kutokana na Aibu ya Uchawa na Ujinga. Tuisambaze hii iwatie moyo na kuwaamsha wengine. Asanteni sana Vijana, Mmbarikiwe.

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Kama uku tayari kumlinda mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu kwa wivu mkubwa sana na watu wenye Nia ovu ya kukwamisha uongozi wake ndani ya chama.Retweet hapa nikuone kamanda

Kama uku tayari kumlinda mwenyekiti <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> kwa wivu mkubwa sana na watu wenye Nia ovu ya kukwamisha uongozi wake ndani ya chama.Retweet hapa nikuone kamanda
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Kwako Tundu Antiphas Lissu .Wananchi tunakuombea uwe na uwezo wa ku blockout the noise na ku-stay focused. . Wewe ndio aina ya kiongozi aliehitajika at this very moment. . Hatma ya Chadema iko mikononi mwa wananchi wa kawaida. You have our full support kwenye no reforms no elections.

Kwako <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> .Wananchi tunakuombea uwe na uwezo wa ku blockout the noise na ku-stay focused. 
.
Wewe ndio aina ya kiongozi aliehitajika at this very moment. 
.
Hatma ya Chadema iko mikononi mwa wananchi wa kawaida. You have our full support kwenye no reforms no elections.