
Liza Mike
@lizangoye
ID: 1879746034714198016
16-01-2025 04:22:58
9 Tweet
19 Takipçi
341 Takip Edilen

Jioni ya Leo anikitoa Salam zangu kwenye mkutano wa hadhara Tarime Mjini katika mapokezi ya Mhe. John Heche Makamu Mwenyekiti @ChademaTz Taifa Ahsanteni Tarime. Kesho Tutakuwa Sirari Feb 13, 2025.





Mhe. MNYIKA John John akieleza namna Jeshi la Polisi limehusika katika kukamata, kupiga, kuumiza na kuwatupa pori la Pande na Ununio wanachama na viongozi wa Chadema baada ya kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti Mhe. Tundu Antiphas Lissu.



Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. "#NoReformsNoElection"
