Juma Ramadhan (@jumaramadhanact) 's Twitter Profile
Juma Ramadhan

@jumaramadhanact

Katibu Mkoa wa Kigoma @ACTwazalendo

ID: 1389655380008054789

calendar_today04-05-2021 18:57:48

4,4K Tweet

3,3K TakipΓ§i

5,5K Takip Edilen

Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana Wakili Msomi Jasper Kido kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACTWazalendo; mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Ahsante sana Wakili Msomi <a href="/JasperKido/">Jasper Kido</a> kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>; mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote

#ZanzibarMpya 
#ZanzibarMoja 
#MamlakaKamili
Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya, Utashi na Hamasa ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni siku ya leo. Kwa wale mnaosema siwezi nawakumbusha tuu Jesca hakumsupport Baba yake. Asanteni Nyote mmenitia nguvu sana. πŸ’œ

Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya, Utashi na Hamasa ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni siku ya leo. 
Kwa wale mnaosema siwezi nawakumbusha tuu Jesca hakumsupport Baba yake. 
Asanteni Nyote mmenitia nguvu sana. πŸ’œ
Juma Ramadhan (@jumaramadhanact) 's Twitter Profile Photo

Kesho ni zamu ya Mbeya. Katibu Mkuu wa ACT Wazalemdo Ndugu Ado Shaibu atakutana na watiania wa Ubunge na Udiwani kutoka Majimbo yote ya Mkoa wa Mbeya. #OperesheniLindaDemokrasia #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.

Ni Siku ya Njombe! Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atakutana na watiania wa Ubunge na Udiwani wa Majimbo yote ya Mkoa wa Njombe. Ni kesho tarehe 17 Mei 2025. #OperesheniLindaDemokrasia #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Mwenyekiti wa Chama Taifa Act Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh: Othman Masoud Othman, leo Jumapili Mei 18, 2025, ameendelea na Ziara yake ya Ujenzi wa Chama huko Kisiwani Tumbatu katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Singasinga ameamuwa kujitosa kwenye kina kirefu cha Maji ya Bahari. Swali je! Ataweza kuogelea kwenye kina hicho kirefu cha Bahari akatoka salama?. Tunasubiria kwa hamu, mimi nitaweka Kambi Kisutu.

Singasinga ameamuwa kujitosa kwenye kina kirefu cha Maji ya Bahari. Swali je! Ataweza kuogelea kwenye kina hicho kirefu cha Bahari akatoka salama?. 
Tunasubiria kwa hamu, mimi nitaweka Kambi Kisutu.
Juma Ramadhan (@jumaramadhanact) 's Twitter Profile Photo

Hodi hodi Same! Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atakuwa na ziara ya siku mbili katika Jimbo la Same Mashariki (tarehe 22-23 Mei 2025). #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, leo Alhamis ya Mei 22, 2025 amehudhuria Akdi ya Arusi, Shughuli ambayo imefanyika huko Masjid Shifaa, Msikiti uliopo Michenzani, Mkoa wa Mjini- Magharibi, Unguja.

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amefanya ziara ya Kata kwa Kata kukagua uhai wa Chama katika Jimbo la Same Mashariki kwa kutembelea Kata za Bombo, Vuje, Mtii, Lugulu, Miamba na Ndungu leo tarehe 22 Mei 2025.

Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Godson John Mmbaga, CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu Ndugu Ado Shaibu leo tarehe 23 Mei 2025.