
Abdulkarim Juma
@jumaabdukarim
A forum of thought and perspectives designed to ignite human right and democrac # revolutionary activist for radical change in Tanzania. team #katibampya.
ID: 1095033478566080514
11-02-2019 18:55:00
310,310K Tweet
6,6K Takipçi
430 Takip Edilen





Anna Tibaijuka Huu ni utetezi usiokuwa na tija. Job Ndugai alikuwa mtu mbaya na dhalimu sana. Ndugai alikuwa mtu katili. Hapa unajaribu kutuonesha kwamba Bunge ni mwanasesere tu kwa madaraka ya kiti cha Rais. Kwa msingi huo, hata wewe Profesa, ulikubali kufanya kazi katika bunge la aina hiyo








Mama Anna Tibaijuka hakuna maelezo yoyote yawezayo justify unyama wa Ndugai bungeni dhidi ya upinzani na kipekee kwa Lissu. Kutekeleza udhalimu dhidi ya mtu mwema kwa maagizo ya juu ni udhalimu na mtekelezaji ni dhalimu. Kwa matendo yake Bungeni spika, Ndugai alikua DHALIMU!





Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Tanzania uliofanyika tar 7/8/2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam #UwakilishiMakini #CHAUMMAforCHANGE

