
Joel Ntile
@joelntile
Repost โ Endorsement
ID: 795348990
01-09-2012 04:58:54
21,21K Tweet
1,1K Takipรงi
551 Takip Edilen


Enock Kiswaga Dunia ilipo vitu vinapinduliwa online. Serikali haina Influencers serious wanaoweza badili upepo siku wanaomiliki hizi algorithms wakiamua lao. Hata ukitaka kupush utalii au agenda ya nchi haina watu serious wa kuitumikia nchi, na kupush influence. Tuache mzaha.


Yule Jamaa mwenye PhD ya mchongo kaokota tena U profesa ๐๐ผ Congratulations my Brother Mjege Kinyota, PhD ๐น๐ฟ Moja wa Wanataaluma wasio na Majivuno, kama mpwa tuu haha. We are proud ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ









Baada ya miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi, je, wananchi wanahisi kweli wana nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka? Au bado vyama vinawabana kwa tiketi, makundi na uamuzi wa juu juu? Ungana nasi leo x.com/i/spaces/1Mnxnโฆ #DemokrasiaYetu Twaweza - ni sisi The Chanzo






