Eggos (@itseggos) 's Twitter Profile
Eggos

@itseggos

3D Artist | I bring ideas to life through animation & product visuals | Open to new projects & collaborations | +255765262343

ID: 1511639236121870339

linkhttps://www.behance.net/eggos_tz calendar_today06-04-2022 09:37:54

501 Tweet

131 Takipçi

92 Takip Edilen

Eggos (@itseggos) 's Twitter Profile Photo

Kabla mwaka haujaisha namaliza na hii "THE CHRISMAS GIFT" napenda kushukuru kwa support yenu hadi hapa tulipo. One way to 2025 kama una idea au tangazo na ungependa libadilike kuwa uhalisia basi wasiliana nasi tufanikishe hilo. MERRY XMAS & HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE🧑‍🎄🎄🤍

Eggos (@itseggos) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2024 umekua mfupi sana tofauti na nilivyotegemea ikiwa nilianza safari ya kufanya 3d designs na blender software. Moja ya kitu nilipenda kujua ni animation hivyo ilipofika mwezi wa saba nikaanza kufanya animations na hapa chini ni baadhi ya animation projects. WELCOME 2025

Eggos (@itseggos) 's Twitter Profile Photo

EGGOS DRINK 3D animation product reveal(video ya kutambulisha kinywaji) pamoja na picha(renders) za hiyo bidhaa katika angle tofauti. Na haya ndiyo yalikua matokeo ya project hii niliyoifanya,Kama unabidhaa yako yoyote ambayo ungependa ifanyiwe visualization kama hii karibu DM.

Captain Cancelo Gonzalez 🇧🇪 (@cancelocaptain) 's Twitter Profile Photo

Unahitaji kutengeneza a 3D animated commercial kama hiyo video hapo chini, mwanangu huyu hapa anakupigia safi let's support this guy kwani si mlisema vijana wajiajiri Just txt him through WhatsApp : +255 765 262 343