
MBWAMBO
@iramu_hetu
first born🔥
ID: 1391011790138617857
08-05-2021 12:47:36
468 Tweet
276 Takipçi
509 Takip Edilen


Wakuu nataka nichukue mkopo kutoka Soft Finance alafu nianze kufuga kuku wa biashara pamoja na kuuza mayai,nawakaribisha sanaa lakini niwakumbushe ya kuwa #MpangoPesa ni #softFinancetz pekee Amua leo kutengeneza kesho yako iliyo bora.


MBWAMBO Soft Finance Karibu upate mkopo kutoka Soft Finance tupambane kwenye huu mradi







Ungependa kuwa na Mabanda ya aina hii karibu Malembo Farms


Kijana Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako, amua sasa. #KilimoNiAjira2025 Malembo Farms ll Malembo Farm International Malembo Farm Academy ll Ugali Elimu






It’s Simba Sports Club day, it’s ONNNN. Kila la KHERI, CHAMA LANGU. #NguvuMoja