calleb cyprian (@calleb_25) 's Twitter Profile
calleb cyprian

@calleb_25

🌟mtaalamu wa suluhisho la ajira kwa vijana|💡mtengeneza maudhui ya kuwasaidia vijana kujinasua kiuchumi kupitia kujiajiri.

ID: 1817792657789186048

calendar_today29-07-2024 05:22:28

7,7K Tweet

1,1K Followers

502 Following

calleb cyprian (@calleb_25) 's Twitter Profile Photo

KUKU WA KISASA 1.Maandalizi ya banda ✅️ ujenzi wa banda (urefu 5m × upana 3m, paa la bati) 💵 Gharama 300k-500k ✅️ vifaa vya kuzalishia na kunyweshea maji(feeders & drinker) *Feeders 5 × 10k= 50k *drinkers 5×10k=50k ✅️Taa za joto 50k

KUKU WA KISASA
1.Maandalizi ya banda 
✅️ ujenzi wa banda (urefu 5m × upana 3m, paa la bati)
💵 Gharama 300k-500k 
✅️ vifaa vya kuzalishia na kunyweshea maji(feeders & drinker)
*Feeders 5 × 10k= 50k
*drinkers 5×10k=50k
✅️Taa za joto 50k